Wanaume tutalijibu hili siku ikifika . . .!!

Wanaume tutalijibu hili siku ikifika . . .!!

Thanks mkuu watu8 ,mistari uliyoiweka kuibatilisha dhana yangu umeitoa kwenye sura ya kwanza
'
Lakini mkuu,unatakiwa ujue kuwa sura ya kwanza imeelezea uumbaji kwa ujumla wake lakini sura ya pili imechambua kipi kiliumbwa kwanza na kwanini
'
Kwa mfano tusingejua majina ya wanyama yalipatikanaje kama sio sura ya pili,lakini pia tumeweza kujua pia hao wanyama lengo la kuumbwa kwao ni katika hali ya Mungu kumtafutia Adam msaidizi,(Mw 2:18-20),assume kwamba Adam angepata msaidizi miongoni mwa wanyama mwanamke angekuwepo leo?
'
Jambo la kujua hapa na wala sio tusi au udhalilishaji kama wanavyodai ni kwamba,mpango wa kwanza wa uumbaji wa Mungu haukumhusisha mwanamke!

Mwanzo 1: 27 Mungu akaumba mtu kwa mfano wake, kwa mfano wa Mungu alimwumba, mwanamume na mwanamke aliwaumba.

Katika mstari huo utagundua ya kwamba neno mtu linamaanisha jinsia KE na ME.
Pia unagundua kuwa mtu huyo aliumbwa kwa mfano wa Mungu.

Mwanzo 2: 18 Bwana Mungu akasema, si vema huyo mtu awe peke yake, nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye.

Kwenye mstari huo hapo juu kuna vitu kadhaa vimeainishwa
1. Mtu huyo (mwanume) haikuwa vema kuwa peke yake.
2. Mtu huyo (mwanaume) atafanyiwa msaidizi wa KUFANANA naye.

Hivyo tunaona kwamba mtu mume alikuwa peke yake, viumbe vinginevyo vilikuwa ni mimea, wanyama na viumbe hai vinginevyo.
Labda tutajiuliza kitu kimoja; Je, yule mwanamke aliyeandikwa pale juu kwenye Mwanzo 1:27 yu wapi? tusome hapa chini.

Mwanzo 2:
21 Bwana Mungu akamletea Adamu usingizi mzito, naye akalala; kisha akatwaa ubavu wake mmoja, akafunika nyama mahali pake,

22 na ule ubavu alioutwaa katika Adamu Bwana Mungu akaufanya mwanamke, akamleta kwa Adamu.
23 Adamu akasema, Sasa huyu ni mfupa katika mifupa yangu, na nyama katika nyama yangu, basi ataitwa mwanamke(HAWA = mama wa vizazi vyote), kwa maana ametwaliwa katika mwanamume.

Kwa mistari hiyo ndiposa tunang'amua ya kwamba mtu mke kumbe alikuwa ni sehemu ya mwili wa Adam.
Kimtofautishacho na Adam ni kwamba yeye kadhihirishwa baada ya Adam na namna yake ya kudhihirishwa imekuwa tofauti na ile ya Adam
 
watu8 ,kwanini unapotosha maandiko na unanukuu nusunusu?
'
Mwanzo 2:18 umeinukuu vyema na sahihi lakini umedanganya kwenye maelezo yako
'
Si kweli kuwa wakati Mungu anamtafutia Adam msaidizi wanyama walikuwepo
'
Wanyama hawakuwepo,tazama Mw 2:19,na hapa Mungu ndipo anatuambia sababu ya kuumba wanyama
'
Sababu ya kuumbwa wanyama na mwanamke inafanana nayo ni kumtafutia Adam msaidizi,lakini mwanamke alikuwa bora kuliko wanyama kwa sababu mbili
'
Moja-mwanamke ndie aliefaulu kuwa msaidizi wa Mwanaume
'
Mbili-mwanamke ni sehemu ya mwili wa Mwanaume
'
Sijui ni kwanini umerukia Mw 2:21 na kuiacha 2:19,au kwa kuwa inamsingi wa hoja yangu?
'
Ukweli uko pale pale!
 
Last edited by a moderator:

Mwanzo 2:19 inaelezea jinsi Adam alivyopewa jukumu na Mungu la kuwapa wale wanyama majina.. Hakupewa jukumu la kuchagua msaidizi kati ya wale wanyama..
 
Last edited by a moderator:
Mwanzo 2:19 "Bwana Mungu akafanyiza kutoka katika ardhi kila mnyama wa msituni, na kila ndege wa angani, akamletea Adamu ili aone atawaitaje; kila kiumbe hai, jina alilokiita Adamu likawa ndilo
jina lake"
 
Nicas Mtei ,rudia kusoma hapo 2:20,hapo utaiona maana ya kufanana naye
'
Halafu uniambie umeelewa nini hapo!
 
Last edited by a moderator:
Nicas Mtei ,nini lengo la Mungu kuumba wanyama na kumletea Adam kwenye Mw 2:19?
 
Last edited by a moderator:
Mwanzo 2:19 "Bwana Mungu akafanyiza kutoka katika ardhi kila mnyama wa msituni, na kila ndege wa angani, akamletea Adamu ili aone atawaitaje; kila kiumbe hai, jina alilokiita Adamu likawa ndilo
jina lake"

Nachotaka kujua kutoka kwako ni je,unafahamu nini kuhusu "kufanana nae"?
 
Nicas Mtei ,rudia kusoma hapo 2:20,hapo utaiona maana ya kufanana naye
'
Halafu uniambie umeelewa nini hapo!
Kama ni hvyo basi umepotoka. Imeeleweka kuwa baada ya Adamu kuwapa majina wanyama wale Mungu akaona si vyema Adamu awe peke yake. Ndipo ikabidi Mungu amuumbe Mwanamke ambaye atafanana na kusaidiana na Adamu. Kumbuka kuwa Mungu hakutaka Adamu achague mnyama yoyote kati ya wote ili awe msaidizi wake. Mungu alimpa mamlaka ya kuwapa majina tu. Eiyer nakushauri usome vifungu vyote.
 
Last edited by a moderator:
Adamu akasema, Sasa huyu ni mfupa katika mifupa yangu, na nyama katika nyama yangu, basi ataitwa mwanamke, kwa maana ametwaliwa katika mwanamume.
 
Mwanzo 2:18-20.(Habari njema kwa watu wote)
Kisha Mwenyezi-Mungu akasema, " Si vizuri huyu mwanaume kuwa peke yake. Nitamfanyia msaidizi wa kumfaa." 19 Basi, kutoka katika udongo, Mwenyezi-Mungu akaumba kila mnyama wa porini na kila ndege wa angani, halafu akamletea huyo mwanaume aone atawapa majina gani; na majina aliyo wapa viumbe hao, yakawa ndiyo majina yao. 20 Basi, huyo mwanaume akawapa majina wanyama wote wa kufugwa, wa porini na ndege wote wa angani. Lakini hakupatikana msaidizi yeyote wa kumfaa ( huyo mwanaume). Hapa ndiyo ilipo point ya msingi wa hoja. Tusijaribu kupotosha maandiko.
 
Nataraji Nicas Mtei umeiona hii post!
 
Last edited by a moderator:
Kama ni hvyo basi umepotoka. Imeeleweka kuwa baada ya Adamu kuwapa majina wanyama wale Mungu akaona si vyema Adamu awe peke yake. Ndipo ikabidi Mungu amuumbe Mwanamke ambaye atafanana na kusaidiana na Adamu. Kumbuka kuwa Mungu hakutaka Adamu achague mnyama yoyote kati ya wote ili awe msaidizi wake. Mungu alimpa mamlaka ya kuwapa majina tu. Eiyer nakushauri usome vifungu vyote.

Acha uongo kijana soma uelewe,Biblia inasema hivi;Mwanzo 2:20;Adam akawapa majina yao kila mnyama wa kufugwa na ndege wa angani na kila mnyama wa mwituni lakini hakuonekana wa kumsaidia Adam aliefanana nae
 
Last edited by a moderator:
Na mtajibu kweli manake hata mboga nyumbani hamleti tena.......kwa hiyo tusubiri hewa? ndio maana tukatoka ili tuwaongoze kuwa mboga inatafutwaje!
 
Acha uongo kijana soma uelewe,Biblia inasema hivi;Mwanzo 2:20;Adam akawapa majina yao kila mnyama wa kufugwa na ndege wa angani na kila mnyama wa mwituni lakini hakuonekana wa kumsaidia Adam aliefanana nae

May be una tatizo jingne ndo maana unajaribu kupotosha maana ili ulinde usemacho
 
Mungu ameumba binadam wa kushangaza sana
'
Hivi Nicas Mtei kati yangu na wewe ni nani mwenye personal interest hapa?
'
Hivi ni kweli huelewi au unajifanya huelewi?
'
Kwenye page ya kwanza ya uzi huu ulikuja na kauli ukidai "Biblical facts",is "fact" you were talking about?Au kuna mtu unamuogopa ukisema ukweli?
'
May be there is someone here,maana nashindwa kuamini kama umeshindwa kuelewa jambo jepesi na rahisi namna hii,mtihani wako wa form 4 uliufanyaje?
'
Hii ni hatari!!
 
Last edited by a moderator:
Nicasi Mtei
Wewe unamkubali mwanamke kutawala? Kama ni ndiyo soma. 1petro 3:1-3, waefeso. 5:22-24
 
Kaka umesema,tatizo ni haya magamba yamekuwa kama wanawake halafu wazungu waume zao kwasababu hizi sera wanazikubali tu hata bila kufanya upembuzi yakinifu,thats why magamba haya haya yanalazimishwa tuwe mashoga,na sitashangaa yakikubali.
 
Back
Top Bottom