Wanaume tutalijibu hili siku ikifika . . .!!

Wanaume tutalijibu hili siku ikifika . . .!!

Ndungu yangu Eiyer.

Nafikiri watakuwa wameelewa. Ila shetani anampango mbaya wa kutaka msaidizi amtawale bosi wake. Hili naomba wanaume tupinge kwa nguvu zote kutawaliwa na wanawake. Tukiruhusu tutakuja kujibu kwa Mungu.
 
Last edited by a moderator:
Samaritan ,huwa sipendezwi sana na maradhi ya utegemezi wa hisia ambayo watu huyaita upendo
'
Kwa kusema kuwa Adam alimpenda sana Eva unakua una-assume,jambo ambalo sio jema
'
Lakini tukiamua kukubaliana na assumption yako for the sake of the this thread,your creating another problem
'
Tatizo jipya unalolileta hapa ni kuwa,Adam alikuwa na mihemko(ambayo wewe unaiita upendo) iliyosababisha akaona ni bora akamkosea Mungu kuliko kumpoteza Eva,jambo ambalo Adam akifufuka leo na akajua unadai alifanya hivyo anaweza kukutwanga ngumi
'
Lakini kwa ushahidi wa maandiko unaikataa assumption yako pale Adam alipokua anajitetea kuhusu kosa lake aliposema,"si huyu mwanamke ulienipa ndo amenipa nikala",bila shaka hiyo sio kauli ya "upendo" au sio?
'
Ukweli ni huo!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Eiyer, safari hii naona umekuja ki askofu zaidi, which is good.
Adam alishamaliza zam yake japo madhara ya alichokifanya yanatukumba wote hadi kizazi chetu.

Mpango wa Mungu uko palepale, kama wanaume, tumeamua kwenda sambasamba na mpango wa Mungu, ni lazima tuenende katika utaratibu wote wa utaratibu anaoutaka Mungu. Hatuwezi kupata laana tu kwa kutawaliwa na wanawake, tusipokaa kama Mungu anavyotaka na kwa utaratibu wake mfumo wote unakua umevurugika, wanawake wanachukua nafasi ya wanaume.

Mfano wa mpango wa Mungu katika maisha yetu,
- Mume awe na mke mmoja.
- Watu wasikutane kimwili zinaa hadi wanapooana.
- Mwanaume kutunza familia zao, Biblia inasema asiyewajali wa kwao ni mbaya kuliko asiyeamini.
- Kumcha Mungu n.k

Huwezi ukavunja huo utaratibu wote kisha ukaogopa kwenda kujibu suala la kutawaliwa na mwanamke.
Narudia tena, kama kuna kitu kina takiwa kiwe kinatusumbua ni hiki, niliishi maisha yangu kwa kumpendeza Mungu?


Thanks Mkuu
 
Last edited by a moderator:
Thanks Samaritan nimekuelewa
'
But mya main point kwa uzi huu ni kuzungumzia mpango wa Mungu kwenye uumbaji unaowahusu wanawake
'
Yapo makosa mengi binadamu tunayafanya na ambayo yatatugharimu sana na mojawapo ya hayo ni hili
'
Dhana nzima ya "haki sawa" kwa Mwanaume na mwanamke muasisi wake ni shetani,kwani anataka abadili mfumo na utaratibu wa maisha aliouweka Mungu na aweke wake!
 
Last edited by a moderator:
Kwahiyo yanayoendelea bungeni ni ushahidi wa hiyo LAANA???
 
Back
Top Bottom