Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,682
Duh, huu ni ukwerli mchungu, kwa kweli wanaume tuna mashitaka ya kujibu kesho kwa Mwenye enzi Mungu.......
Hebu ngoja nichunguze home kama nimepokwa madaraka yangu na mama Ngina na kama yamepokwa nitatumia mifano wa maneno yako haya kuyarejesha kwa nguvu zote..
Biblia haiongopi bana, safi sana mkuu Eiyer ......
Heheh we mzee acha kumuinjoi mwenzio.
Si umwambie tu kwamba amechemka!
Teh na we utajibu hilo siku ikifika.