Wanaume, tupeni majibu hapa...

Wanaume, tupeni majibu hapa...

usitake kugeneralize mambo hapa.....mwanaume si lolote wala chochote kwa mwanamke....it dependson how umejitune kwa mwanaume wako..wanaume wengi wanapenda wanawake wasikivu,feminine,charm kdogo,usie na stress za gafla gafla na ambae ameshamjua mwanaume wake na weakness zake.............we endelea kupiga debe hapa kuna wanawake wakikohoa tu mwanaume anabembeleza aambiwe whats wrong.....

kama ww ni beef tu ndani ya uhusiano na neno samahani halipo huyo mwanaume hakupendi and IF THAT BOY/MAN DONT LOVE YOU BY NOW...HE SHALL NEVER EVER LOVES YOU.....samahani atapewa nyumba ndogo...LMAO
 
Unakumbuka enzi zile sadamu hussein alivyokuwa anapigwa na bush lakini alikuwa bado anazidi kujigamba kuwa 'tutapigana hadi muiraki wa mwisho'

Mi naona jibu ni kama ulivyoliweka, ni kwamba tunahofia ile hali ya kuonekana 'unajigalagaza mbele ya mkeo', yaani ni kama vile unaonyesha udhaifu wako ktk kuongoza! Kiongozi mwoga mwoga hafai, inzi jasiri hufia kidondani. Yaani kama wewe rais unakuwa mdogo kama pilitoni, sisi wananchi unatuongoza tutakuonaje? Kwahiyo it's just a notion ambayo kuibadilisha inahitaji muda na patience

Nimeongea mengi, nasubiri maswali sasa
 
Kwanza ni malezi,malezi yametufundisha kutokubali kirahisi.Tabia hii ni moja ya tabia zinazoitwa kimakosa kuwa tabia ya kiume.Kukiri kosa ni njia bora ya kulisahihisha kosa na kuboresha uhusiano,lakini bahati mbaya malezi yanatueleza kuwa huo ni uanamke wakath sio kweli!
 
hoja yako nzuri sana dada hilo jambo hata mimi nakutana nalo mara kwa mara ila tatizo lililopo ni kwamba kama una hoja iliyokamilika kwamaana ya ushahidi usiotia shaka kwa mwanaume mstaraabu atakiri kosa na kuomba radhi ila kama unakuja na maneno ya kuambiwa au ulisikia huna uthibitisho wa unachokisema siwezi kukubali lazima nithibitishe kuwa sivyo hivyo unavyodhani au kufikiria. kufanya hivyo ndio tunaonekana wabishi, ila wapo wengine wakiona ukweli uko wazi wanatumia ubabe sasa hapo inakuwa siyo ustarabu. wengine wanaona itakuwa aibu kukiri na kuomba radhi au akikubali na wewe unaweza kulipiza fikra ni nyingi lakini inategemea zimetua kichwa gani na wakati gani. muangalie pia sehemu za kutubananisha iwe faragha siyo vikao vya wazee au mawifi sijui shangazi itakuwa ngumu kukiri.
 
Nauliza swali moja hapa,kwa wanawake wanaokiri makosa na kuomba msamaha je inakuwa imetoka moyoni au atakuwa makini usimkamate tena??
 
Unakumbuka enzi zile sadamu hussein alivyokuwa anapigwa na bush lakini alikuwa bado anazidi kujigamba kuwa 'tutapigana hadi muiraki wa mwisho'

Mi naona jibu ni kama ulivyoliweka, ni kwamba tunahofia ile hali ya kuonekana 'unajigalagaza mbele ya mkeo', yaani ni kama vile unaonyesha udhaifu wako ktk kuongoza! Kiongozi mwoga mwoga hafai, inzi jasiri hufia kidondani. Yaani kama wewe rais unakuwa mdogo kama pilitoni, sisi wananchi unatuongoza tutakuonaje? Kwahiyo it's just a notion ambayo kuibadilisha inahitaji muda na patience

Nimeongea mengi, nasubiri maswali sasa

do you think kwamba kuomba samahani ni kugalagaza p yako kwa mkeo? je unaamini hivyo? na je kupi kunakongeza p kukubali makosa kisha kuyarekebisha na kuomba samahan ama kutokubali kuomba samahani wakati iko wazi kabisa kwamba umekosea?
 
Nauliza swali moja hapa,kwa wanawake wanaokiri makosa na kuomba msamaha je inakuwa imetoka moyoni au atakuwa makini usimkamate tena??

mkuu uliupitia ule uzi wa jinsi ya kukiri na kuomba samahani kwa wanawake? nenda kisha utapata majibu ya swali lako.
 
Hivi kwanini wenzetu nyie si wepesi hata kidogo wa kukiri makosa yenu na kuomba msamaha? Kwanini mara nyingi huwa mnatafuta means ya kujusfty makosa kuliko kuomba msamaha? je ni ubabe ama ni aibu ama mnahisi kufanya hivyo ni kujishusha hadhi yani kutoka kuwa mwanaume na kuwa mtu mwingine?

je na kwa wale mnaokiri na kuwaangukia wake zenu kwa samahani, je wake zenu wamewahi kubadili heshima yenu ama hata kukudharau?

leo akina mama tukae tuwatupie maswali kwa kila hoja watakazo leta hadi tujue nini ni nini.

nawasilisha.
Wanaume wengi hatuombi msamaha katika mazingira hayo kwa sababu wanawake wengi ni waongo. Unawezaje kumuomba msamaha mtu ambaye unaamini kuwa ni mwongo?
 
jamii imemtengeneza mwanaume kuwa superior socially, hivyo ile psychological superiority ya mwanaume ndiyo inayomfanya mwanaume asiombe msamaha. ask yourself, ofisini, how many times will your boss write you a letter apologise for his mistake like he will give warnings?ndivyo ilivyo kwa wanaume,unless jamii ibadilishe mtazamo wake wa mahali ilipowaweka wanaume. ni sawa tu na vile unavyompa chakula, unamnawisha, unatoa vyombo akiwa amekaa hapohapo alipo.nasikia wapo ambao hata wakiamka kitanda wanakiacha hivyo mpaka atandike mrs.upo hapo?
 
hoja yako nzuri sana dada hilo jambo hata mimi nakutana nalo mara kwa mara ila tatizo lililopo ni kwamba kama una hoja iliyokamilika kwamaana ya ushahidi usiotia shaka kwa mwanaume mstaraabu atakiri kosa na kuomba radhi ila kama unakuja na maneno ya kuambiwa au ulisikia huna uthibitisho wa unachokisema siwezi kukubali lazima nithibitishe kuwa sivyo hivyo unavyodhani au kufikiria. kufanya hivyo ndio tunaonekana wabishi, ila wapo wengine wakiona ukweli uko wazi wanatumia ubabe sasa hapo inakuwa siyo ustarabu. wengine wanaona itakuwa aibu kukiri na kuomba radhi au akikubali na wewe unaweza kulipiza fikra ni nyingi lakini inategemea zimetua kichwa gani na wakati gani. muangalie pia sehemu za kutubananisha iwe faragha siyo vikao vya wazee au mawifi sijui shangazi itakuwa ngumu kukiri.

kaka hapo kwenye red kwanini kwa mwanamke e ok ila siyo kwako wewe baba?
 
Jamani kuna namana ya kukubali kosa na namna ya kukiri kosa kwa Mume mbele ya mkewe. Utamwona mwanaume amekuul kidogo na kuyeyushia hivi, jua huyo kakubali kiume. Ndo wanasema kufa kiume, kufa na tai shingoni. Ukiona dume lako likikosea linasema kabisa "mke wangu nimekosaaaa, nisamehe" jua hilo ni ****. Na nyie kina dada ukiona mume anayeyushayeyusha hivi, sio unaanza kukomaa mpaka apige magoti. Just read the situation and understand. Ni lazima amentain status at, ala. (hii ni kwa experience niliyonayo kwa watu waliokwisha oa).
 
Nauliza swali moja hapa,kwa wanawake wanaokiri makosa na kuomba msamaha je inakuwa imetoka moyoni au atakuwa makini usimkamate tena??
Itoke moyoni wapi bwana, mara nyingi inakuwa ni kutaka kukuridhisha tu ili mjadala uishe
 
Wanaume wengi hatuombi msamaha katika mazingira hayo kwa sababu wanawake wengi ni waongo. Unawezaje kumuomba msamaha mtu ambaye unaamini kuwa ni mwongo?

khaaa! waongo kivipi?
 
"na nyie wake watiini waume zenu"....+...." mwanamume uishi na mkeo kwa akili"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom