babadullah
JF-Expert Member
- Feb 21, 2017
- 508
- 320
Kwan, mnauza nn ety
Poa poaNimekuja angalia pm hapo.
AKILI YAKO KA JINA LANGU VIJANA WAKISHA KUFA HAO WAZEE UTAWAPATA WAPI AU UNAFIKA UZEE KABLA YA UJANA, WE JIFANYE MWENDA WAZIMU TU WAKATI UNATIMAMUEE MUNGU VIJANA WA KIUME FUPISHA SIKU ZAO MAANA WANATUSABABISHA TUKUTENDE DHAMBI AU WATUMIE GHARIKA
Usiseme maneno ya ujinga kwa kinywa chako, wala moyo wako usiwe na haraka kunena mbele za Mungu; kwa maana, Mungu yuko mbinguni, na wewe upo chini, Kwa hiyo maneno yako na yawe machache.EE MUNGU VIJANA WA KIUME FUPISHA SIKU ZAO MAANA WANATUSABABISHA TUKUTENDE DHAMBI AU WATUMIE GHARIKA
hahahahahah jomonii mizinga haijawahi kukuacha salama...ujambo lakini twende leo viti virefu tukatumbue mshahara.Daaaah hii msg inanichoma sasa hivi nimetoka kukopa pesa kwa mwanamke daaaaaah.so tuwe tunawasaidia nyie tu si ndio??
Hahaha acha tu magu sio mtu mzuriii aisee ngoja nikucheki kulehahahahahah jomonii mizinga haijawahi kukuacha salama...ujambo lakini twende leo viti virefu tukatumbue mshahara.
[emoji1] [emoji1] mi naishia kucheka tu. Ilw nawaomba nyie wadada mtuelewe jamani pesa zimekuwa ngumu kupatikana kama hamtaki bora muendelee kukaa single kama mnaona hamupati faida ya mapenzi.Kwakwel hii tabia ina kera mnooo..mtu bila hata aibu anakwambia kabisa baby naomba ela nisogeze wiki kwel kabisa mwanaume mzima unaomba ela kwa msichana kabisaa,alaf apo ndo nitegemee utakuja kuwa baba bora wa familia hapana..maana huwa nawaza kama tu kupangilia bajet zako mwenyewe vzuri huwezi aya tukija kuwa na familia mimi si ndo nitakuwa mama na baba pia maana nijue mmekula,watoto wameenda shule na nk.
Na bora mtu aombe mara moja jaman kila mara yy ni kuomba tu aaaah,kwakwel hizi txt huwa zinanichoshaaa na huwa zinafanya upendo uishe kabisa
Kaa hivyo hivyo,kwani wew si unalipwa mshahara kama wanaume pia,kwa nini upende kupewa wewe tu.Shida zipo na kama mtu ni wapenzi mnaweza kusaidiana sasa inapotokea mmoja ndo mwenye shida kila siku apo inakuwa ni shida.sasa mwanaume unapoomba ela kwa mwanamke aya na mm mwanamke nifanyaje?maana nature mwanamke anapenda kupendwa kuhudumiwa na kujaliwa sasa tena mm nianze kuwa nakupa tu lool hapana Kwakwel
Yan mwanaume ukishaniomba ela tu ndo bye bye mwalimu sikutaki tena.
Vijana wa sasa ndio watakaokuja kuwalea bint zako wacha tukueEE MUNGU VIJANA WA KIUME FUPISHA SIKU ZAO MAANA WANATUSABABISHA TUKUTENDE DHAMBI AU WATUMIE GHARIKA
Bora kila mtu abaki na hela zake basi[emoji1] [emoji1] mi naishia kucheka tu. Ilw nawaomba nyie wadada mtuelewe jamani pesa zimekuwa ngumu kupatikana kama hamtaki bora muendelee kukaa single kama mnaona hamupati faida ya mapenzi.