Wanaume Tabia ya Kukopa Wanawake Mmeanza Lini?

Wanaume Tabia ya Kukopa Wanawake Mmeanza Lini?

Hahaha
Mie sikopeshi mwanaume, nampa halafu Ole wake asirudishe.... Yaaani nasema nakupa hela halafu usirudishe uonee
Kuna wanaume makauzu hata udai vipi hata mshipa wa mbupu hauwachezi.
 
Na alisema pia akishapata mahitaji yake basi hana budi kurudisha alipokopa
Alisema pia pia akupigae shavu la kushoto mgeuzie na la kulia hata kama hana akishindwa kulipa akikufuata tena mkopeshe tu
 
Kuna katabia kamezuka ka wanaume kukopa either girlfriend au marafiki zake halafu hawarudishi, kukopa sio kitu kibaya ila unavyokopa wakati huna mpango wa kurudisha sio uanaume na ubinadamu, yani mwanamke umkope papuchi na hela pia jamani? Ndo maana wanawake tunaonaga saa nyingine bora kutembea na wenye hela tu maana nyie tunaowavumilia na umaskini wenu bado mnakopa na vihela vyetu vidogo tulivyo navyo. As for me ukinikopa papuchi fresh sababu utamu tunapata wote ila hela yangi jamaani siwezi kukuelewa. Wanaume wa zamani hawakuwahi hivi halafu hawa wanaoaibisha jinsia ya kiume sasa hivi sijui wametokea wapi, kuna kesi nyingi sana mtaani za aina hii kijana anakuja na fix kibaooo unajua umepata mwanaume mfanye maisha kumbe kaja kukudanga, kwa style hii mpaka magufuli atoke madarakani kuna wanaume wataanza kujipanga barabarani nao wanunuliwe.
MWANAUME NGUVU YA KUTAFUTA PESA HUNA UNAPATA WAPI NGUVU YA KUMPANDA MWANAMKE?
Nipm nikulipe pesa yote uliyokopwa.
 
Siku mkijua kutofautisha kati ya "WANAUME" na "WAVULANA" hamtakuwa mnalalamika.

Mwanaume ana akili ya kutafuta na ikitokea akapa basi atalipa ndani ya muda mwafaka ili kulinda hadhi yake ya 'KIUME'.

Mvulana (ben~ten) bado analelewa na anapenda sana vya dezo, na mbaya zaidi wavulana wengi sana wanapenda kitonga. Ukikosea ukamkopesha mvulana hiyo imekula kwako sahau + samehe.

So kama umemkopesha mvulana basi mwachie Mungu tu manaake hamna jinsi tena. ILA TAHADHARI KWA NYIE AKINA DADA UKIMKOPESHA MVULANA PLEASE DO IT AT YOUR OWN RISK.
 
Uko sawa sema age nayo inadanganya, unamuona mtu unaaamini kwa age yake hawez fanya mambo ya wavulana kumbe nae wale wale
 
Back
Top Bottom