Pierreeppah
JF-Expert Member
- Feb 2, 2014
- 1,563
- 1,988
Tumeanza tangu magu aliposhika madaraka
Biashara ya cash direct sio mkuu. Hiyo unayoongea wewe ndo inatakiwa kuwa hivyo, hutakiwi kuombwa unatakiwa ujiongeze.Wanasema kila mwanamke (isipokuwa mama mzazi) anauza papuchi ila kinachotofautiana ni namna ya uuzaji.
Mimi sitaki ile mwanamke ananiambia, nigee elfu thelasini nikupe papuchi... Huyo namkatalia.
Ila yule ananiambia nitumie hela ya taxi nije, namkatia thirty, akija tunakula na kunywa kwa kutumia hela yangu, say nimeunguza elfu aroabaini, then akiondoka namtoa na elfu ishirini au thelasini nyingine. Jumla nakuwa nimempa mkononi kama elfu hamsini au sitini, ila pia si nimeingia gharama nyingine labda za gest au bata ndogo ndogo...
Hiyo biashara sawa. Ila yule anayetaka cash directly, hiyo biashara nimeikataa!
Hahahahaahhaaa... unamaanisha atakua mchawi?Utapozeeka, jirani zako wana kazi kweli kweli(Utakuwa na maneno mengi ya Wahenga)
Unatuombea gharika!!!!???
Niliposoma comment yako ilibidi nicheke kwanza.
Ngoja tupambane na hali yetu.
Wanawake ndo waliobaki na vichenj vya wakati wa jkNdo nilichogundua hicho.
Kuna katabia kamezuka ka wanaume kukopa either girlfriend au marafiki zake halafu hawarudishi, kukopa sio kitu kibaya ila unavyokopa wakati huna mpango wa kurudisha sio uanaume na ubinadamu, yani mwanamke umkope papuchi na hela pia jamani? Ndo maana wanawake tunaonaga saa nyingine bora kutembea na wenye hela tu maana nyie tunaowavumilia na umaskini wenu bado mnakopa na vihela vyetu vidogo tulivyo navyo. As for me ukinikopa papuchi fresh sababu utamu tunapata wote ila hela yangi jamaani siwezi kukuelewa. Wanaume wa zamani hawakuwahi hivi halafu hawa wanaoaibisha jinsia ya kiume sasa hivi sijui wametokea wapi, kuna kesi nyingi sana mtaani za aina hii kijana anakuja na fix kibaooo unajua umepata mwanaume mfanye maisha kumbe kaja kukudanga, kwa style hii mpaka magufuli atoke madarakani kuna wanaume wataanza kujipanga barabarani nao wanunuliwe.
MWANAUME NGUVU YA KUTAFUTA PESA HUNA UNAPATA WAPI NGUVU YA KUMPANDA MWANAMKE?[/
Nguvu zakutafuta pesa na nguvu zakumpanda mwanamke ni vitu viwili tofauti kabisa...... Sema ukipata mwanaume ambaye hakui ni shida sana.... Nina kaka yangu hadi leo hana familia, hana maisha yakueleweka, uliza miaka yake sasa!! Lakini anapanga wanawake ghetoni kwake utazani ana saloon ya kike
Si kwa dua zile!!! Hadi nimeshtuka!Hahahahaahhaaa... unamaanisha atakua mchawi?
Ndo nachomaanisha sio kila cku mmoja ndo awe muhitaji. Yani mapenzi yanaisha kabisa jamani mwanaume akiomba hela maana wewe ndo unakua mwanaume sasa.Shida zipo na kama mtu ni wapenzi mnaweza kusaidiana sasa inapotokea mmoja ndo mwenye shida kila siku apo inakuwa ni shida.sasa mwanaume unapoomba ela kwa mwanamke aya na mm mwanamke nifanyaje?maana nature mwanamke anapenda kupendwa kuhudumiwa na kujaliwa sasa tena mm nianze kuwa nakupa tu lool hapana Kwakwel
Yan mwanaume ukishaniomba ela tu ndo bye bye mwalimu sikutaki tena.
Iyo ni kwel kabisa yan kama mimi hapa baada ya kupokea iyo txt Kwakwel. Mapenz yameisha kabisa siwezi kuvumilia iyo hali.ila nitachoamini mwanaume anaekupenda kwa dhati hakuombi ela hata siku moja.Ndo nachomaanisha sio kila cku mmoja ndo awe muhitaji. Yani mapenzi yanaisha kabisa jamani mwanaume akiomba hela maana wewe ndo unakua mwanaume sasa.
Hata anaekupenda anaweza akakwama lakini ndo achukie asirudishe hiyo haivumiliki, unajua kuna wanaume wenye tabia za kudanga pia yan kazi yao ni kutongoza wanawake ili wawatunze na hawa wapo sana mjini kwetu Dar.Iyo ni kwel kabisa yan kama mimi hapa baada ya kupokea iyo txt Kwakwel. Mapenz yameisha kabisa siwezi kuvumilia iyo hali.ila nitachoamini mwanaume anaekupenda kwa dhati hakuombi ela hata siku moja.
Na mwanaume kamili hawezi kumuomba ela mwanamke hata siku moja
Anaekupenda kwa dhati had akwambie anaomba ela jua kwel amebanwa sanaaaa,,,,Hata anaekupenda anaweza akakwama lakini ndo achukie asirudishe hiyo haivumiliki, unajua kuna wanaume wenye tabia za kudanga pia yan kazi yao ni kutongoza wanawake ili wawatunze na hawa wapo sana mjini kwetu Dar.
tehe tehe teheMWANAUME NGUVU YA KUTAFUTA PESA HUNA UNAPATA WAPI NGUVU YA KUMPANDA MWANAMKE?
Mwanzo tu kitakuwa kigumu ila kitachanganya tu labda hukosee kwa uliyemkopa.Papuchi nikome nikiwa sijui kama naempa mkopaji, kukopwa live chief hata kiuno hakisogei
Wengine wamekimbia hawana nia nipo mimi tuKuna ushawishi upi mwingine tena?