Rogie
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 7,601
- 6,723
Huu uzi wa zamani tunahitaji mpyaaa
Nikopeshe mm mlipaji mzuri tu.
Huu uzi wa zamani tunahitaji mpyaaa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Na wameshika kasi ile mbaya....
Humu jf ndo basi yani hadi pm ikiingia unahisi ni mtu kaja kukopa, bla bla nyingi mi injinia nna makampuni, anatuma picha kundi kuuuuubwa la mbuzi sijui anagoogle, mbuzi wangu hao pye pye pye pye kesho anarudi nikope elf kumi nmechelewa bank...... Kenge wewe!!!!!!!!!!
Wazee wanangwengwewazee ni hazina
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na wameshika kasi ile mbaya....
Humu jf ndo basi yani hadi pm ikiingia unahisi ni mtu kaja kukopa, bla bla nyingi mi injinia nna makampuni, anatuma picha kundi kuuuuubwa la mbuzi sijui anagoogle, mbuzi wangu hao pye pye pye pye kesho anarudi nikope elf kumi nmechelewa bank...... Kenge wewe!!!!!!!!!!
Jirani za siku we sio mkopaji uje pm tusalimiane....Dah ES, basi sikopi tena kwako
Vijanaume vinadanga hadi keroAhahaha wanaume nao wanadanga nimecheka sana
HahahaNa wameshika kasi ile mbaya....
Humu jf ndo basi yani hadi pm ikiingia unahisi ni mtu kaja kukopa, bla bla nyingi mi injinia nna makampuni, anatuma picha kundi kuuuuubwa la mbuzi sijui anagoogle, mbuzi wangu hao pye pye pye pye kesho anarudi nikope elf kumi nmechelewa bank...... Kenge wewe!!!!!!!!!!
Ah ah ah ah ah ah ah Nimecheka Kisengeeeehh Yani Uyo Kenge Aliye Kufuata Pm Pasipo Na Shaka Ujumbe Umemfikia Popote AlipoNa wameshika kasi ile mbaya....
Humu jf ndo basi yani hadi pm ikiingia unahisi ni mtu kaja kukopa, bla bla nyingi mi injinia nna makampuni, anatuma picha kundi kuuuuubwa la mbuzi sijui anagoogle, mbuzi wangu hao pye pye pye pye kesho anarudi nikope elf kumi nmechelewa bank...... Kenge wewe!!!!!!!!!!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] sijui wana shida gani jaman kudanga watuachie wanawakeVijanaume vinadanga hadi kero
yani yeye na kundi la mbuzi wake wote kenge...Ah ah ah ah ah ah ah Nimecheka Kisengeeeehh Yani Uyo Kenge Aliye Kufuata Pm Pasipo Na Shaka Ujumbe Umemfikia Popote Alipo
Ila Confidence Ya Kumkopa Mwanamke Sijui Watu Wanaitoa Wap Mbaya Zaid Humu Humu Katika Mitandao Daaaahhyani yeye na kundi la mbuzi wake wote kenge...
jitu lenyewe liongo liongo humu nani alikope
Hadi wametupiku, wanadanga na meseji zenye emoji za vicheko pambaafff wakachekee mbali huko, wasome maandiko waelewe maana ya kula kwa jasho[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] sijui wana shida gani jaman kudanga watuachie wanawake
Afu mkopaji mwenyewe anashinda anazunguka humu kujisifia ana hela ooh wanawake wa jf wanamuomba.....Kima tu, hata buku ten hanaIla Confidence Ya Kumkopa Mwanamke Sijui Watu Wanaitoa Wap Mbaya Zaid Humu Humu Katika Mitandao Daaaahh
Watu Wana Roho Ngum Bhana Jaman
Msamehe TuuuAfu mkopaji mwenyewe anashinda anazunguka humu kujisia ana hela ooh wanawake wa jf wanamuomba.....Kima tu, hata buku ten hana
Ebu ninong'oneze Eve asije akakuja kwangu kunidangia buree [emoji3][emoji3]yani yeye na kundi la mbuzi wake wote kenge...
jitu lenyewe liongo liongo humu nani alikope
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] au wanajua kula kwa jasho tuliumbiwa sisi wanawakeHadi wametupiku, wanadanga na meseji zenye emoji za vicheko pambaafff wakachekee mbali huko, wasome maandiko waelewe maana ya kula kwa jasho
Woiiiii [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Afu mkopaji mwenyewe anashinda anazunguka humu kujisia ana hela ooh wanawake wa jf wanamuomba.....Kima tu, hata buku ten hana
Kwahiyo hivyo vyuma vimekaza kwa wanaume tu?Vyuma vimekaza balaa aisee..duuuh