Siamini ninii tena mito ulichosemaNami nimemsoma nikagundua anaogopa, ndo maana nikaamua kumuondoa wasiwasi. Ila bado kama vile haamini nilichosema
Ha ha haNakuja
Wewe jitoe kwenye list ya kunidai mapema maana navyokujua haukopeki, ukitumiwa kamesejiZoteeeee, hadi usizozitegemea[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Hata sijui nimefanya nini kilichomuogopesha huyu mremboNami nimemsoma nikagundua anaogopa, ndo maana nikaamua kumuondoa wasiwasi. Ila bado kama vile haamini nilichosema
Kama mzee wa mbuzi ye huwa anasema kila mwanamke humu Kamtongoza, kila mwanamke kamuomba hela yani unaaweza dhani sijui anafananaje....kuhusu sura yake namuachia Mungu!!!Hapo pa umbea ndio acha kabisa, kuna mmoja aliwahi jisifia kuwa alitongozwa na wanawake wawili humu, tena hao wanawake maarufu tu humu. Kuja kufuatilia kumbe muongooooooo, kazi kuchafua wenzao tu sijui wafaidike na nini. Alafu lijitu lizima tu hadi unabakii kumuonea mkewe na wanae huruma.
Hata sisi tukiwa wazee tutakuwa nazo tu pesa........daaah kuna wanawake watatu walinikopa kwa muda tofauti mpaka kesho huwa nashindwa hata kuwadai daaah nishasamehe aisee!!True.. wazee wanajua hawatakiwi kukufuja bure bure
Mzee wa mbuzi....Kama mzee wa mbuzi ye huwa anasema kila mwanamke humu Kamtongoza, kila mwanamke kamuomba hela yani unaaweza dhani sijui anafananaje....kuhusu sura yake namuachia Mungu!!!
Hahahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23]
HahahahahOna sasa tunavyoendana,wote Man utd njoo basi hata tuangalie mpira pamoja, tukishinda tunapongezana tukifungwa tunaliwazana..
Hahahahaha eve unaniuaaTunawaahidi sio vits tu, bali boxer bm 150 na sun lg pia tunapokea
Kama mzee wa mbuzi ye huwa anasema kila mwanamke humu Kamtongoza, kila mwanamke kamuomba hela yani unaaweza dhani sijui anafananaje....kuhusu sura yake namuachia Mungu!!!
Nimecheka saana Mtu anasomeshwa hadi timu [emoji23] [emoji23]Hahahaha
Kweli nakuja hivi unakaa wapi vileHa ha ha
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kama mzee wa mbuzi ye huwa anasema kila mwanamke humu Kamtongoza, kila mwanamke kamuomba hela yani unaaweza dhani sijui anafananaje....kuhusu sura yake namuachia Mungu!!!
Kama nakuonaNimecheka saana Mtu anasomeshwa hadi timu [emoji23] [emoji23]
Hahahaaaa!! Na hata hapo bado tunaweza kuzunguza zaidi. Maana sio kwa balaa hili walilotuachia.Tunawaahidi sio vits tu, bali boxer bm 150 na sun lg pia tunapokea
Nipo bhn naona leo Zamu yetu... namlaani aliyesambaza picha yako pasipo hata mie kuitia machoni.Kama nakuona
Mmoja au wawili!!!!!!Kama ulimuona 1 au 2 but huwez conclude hoja yako...