Wanaume pendeni usafi, mnanuka makwapa

Wanaume pendeni usafi, mnanuka makwapa

Ni ijumaa nyingine tulivu kabisa, nikiwa nafukiza udi nyumbani kwangu nikakumbuka kitu hiki, ukipishana na wanaume jamani ni aidha uzibe pua au ukubali kunukishwa harufu mbaya ya kwapa, inakuaje mwanaume umevaa vizuri tu ila unanuka kwapa na kuna vikata harufu vya kila aina kwa bajeti anayomudu mtanzania yoyote!!?

Juzi kati hapa nilikua sehemu nabarizi pembeni kulikua kuna wapendanao wanaogelea kwenye swimming pool, sijui ilikuaje yule mwanaume akanyanyua mikono juu yoh! nilihisi kutapika, makwapa yana manywele zimekua kama kapaka bleech yaani niliwaza sana yule mwanamke aliwezaje kukumbatiwa na mtu ana manywele yaliyochacha namna ile, nikawaza hiyo harufu ya kikwapa ikoje kwenye nguo zake na hata mwilini mwake, mmh wanawake wana huruma jamani ptuuuh!

Nimesikia kuna wengine wanavaa boxer mwezi mzima, seriously!!! unavaa nguo ya ndani mwezi mzima huo sio uchafu ni ukichaa kabisa hata humu mpoooo jirekebisheni, nyie ndio mnawapa wanawake zenu mafangasi ya uke,🤢

Hapo sijagusa wale mwenye uso mchafu pua imejaa vidude dude vyeupe, kidevuni ndio usiseme, hivi nyie wanawake mnawezaje kuwakiss watu wa hivyo mbona kinyaa jamani, scrub ya elfu 5 tu nayo mzozo!!

Ushauri wangu konky kwa wanawake kama mwanaume wako hajitunzi, hajipendi, ananuka makwapa, hataki kushave, tengenezeni kikundi chenu cha watu watano watano au kumi, mnakua mnasaidiana kukamkaba huyo mwanaume mchafu na kumfanyisha usafi kwa nguvu, eeh mbona mama zao walikua wanawakaba kunywa uji au wanawapiga bakora wakaoge, hebu anzeni hiyo kampeni mtokomeze harufu za vikwapa barabarani, mnatupa tabu sisi wengine yaani ukipishana na kundi la wanaume ni lazima uzibe pumzi ili tu ile harufu mbaya usiisikie,

Na nyie mnaoishi kwenye mikoa ya baridi habari zenu tunazo, mnakaa hata miezi mitatu hamuogi, mnanawa tu uso na kinywa, jamani uvundo lazima uwepo msijipe moyo ooh kuna baridi kwapa langu halitosikika harufu, tunasikia, wengine pua zetu nyembamba ndefu zinanusa hizo balaa,

Povu ruksaaaaaa😤😬
Usitupangie maisha yetu. Wewe deal na makwapa ya mume wako, inatosha. Mwanaume usiponuka kwapa unakuwa huna tofauti yoyote ile na mwanamke.
 
Hamjakutana na Meneja wangu nikiwa Lindi mwaka juzi 2024. Jamaa ananuka kwapa kama sijui ni kitu kimechacha , akiongea kinywani harufu kama ya chooni vile, plus akiongea mate yanatangulia maneno, confidence mbwa, ubishi ndo usiseme , umalaya sasa 🙌. Nilikuwa naongea nae kwakuwa alikuwa meneja wangu ila tofauti na hapo ingekuwa kazi sana kumsogelea mita 3.

Tetesi zinasema kwamba hiyo ni uchawi aliofanyiwa na mkewe kwasababu ya uzinzi.
 
Huyo ndo alikua Manager wako?
 
umenikumbusha kitu..!
Juzi nilikuwa kwenye train kikapita ‘kifaa’, kwanza ilitangulia harufu kali ya jasho, natazama mbele naona mtu kavaa wigi lake, kapaka lipstick mdomoni, kabandika zake kucha tena ndefu tu, (unaziona kwa ile swaga ya kurudisha wigi nyuma kwa mbwembwe😹), mikope kama yote, ila sura saaaasaaa ikanishtua,

Nikajiuliza mwanamke ananukaje harufu kali hivi ya jasho hata hajishtukii.!? kumtazama vyema, jizoooozii, kakomaa balaa, miguuni kavaa vikuku ila milonjo ina vigimbi vya Usain Bolt, kavaa kila kitu cha kike ila muonekano, haiba, harufu vinamgomea kabisa kuwa mwanamke..!

Nikajiambia tu afadhali hii harufu siyo ya mwanamke maana ingekuwa ni udhalilishaji kwenye (UWD), Umoja wa Wanawake Duniani walaqhi’..!!🙌🏾Kumbe we mlibwende upo?
 
Ni ijumaa nyingine tulivu kabisa, nikiwa nafukiza udi nyumbani kwangu nikakumbuka kitu hiki, ukipishana na wanaume jamani ni aidha uzibe pua au ukubali kunukishwa harufu mbaya ya kwapa, inakuaje mwanaume umevaa vizuri tu ila unanuka kwapa na kuna vikata harufu vya kila aina kwa bajeti anayomudu mtanzania yoyote!!?

Juzi kati hapa nilikua sehemu nabarizi pembeni kulikua kuna wapendanao wanaogelea kwenye swimming pool, sijui ilikuaje yule mwanaume akanyanyua mikono juu yoh! nilihisi kutapika, makwapa yana manywele zimekua kama kapaka bleech yaani niliwaza sana yule mwanamke aliwezaje kukumbatiwa na mtu ana manywele yaliyochacha namna ile, nikawaza hiyo harufu ya kikwapa ikoje kwenye nguo zake na hata mwilini mwake, mmh wanawake wana huruma jamani ptuuuh!

Nimesikia kuna wengine wanavaa boxer mwezi mzima, seriously!!! unavaa nguo ya ndani mwezi mzima huo sio uchafu ni ukichaa kabisa hata humu mpoooo jirekebisheni, nyie ndio mnawapa wanawake zenu mafangasi ya uke,🤢

Hapo sijagusa wale mwenye uso mchafu pua imejaa vidude dude vyeupe, kidevuni ndio usiseme, hivi nyie wanawake mnawezaje kuwakiss watu wa hivyo mbona kinyaa jamani, scrub ya elfu 5 tu nayo mzozo!!

Ushauri wangu konky kwa wanawake kama mwanaume wako hajitunzi, hajipendi, ananuka makwapa, hataki kushave, tengenezeni kikundi chenu cha watu watano watano au kumi, mnakua mnasaidiana kukamkaba huyo mwanaume mchafu na kumfanyisha usafi kwa nguvu, eeh mbona mama zao walikua wanawakaba kunywa uji au wanawapiga bakora wakaoge, hebu anzeni hiyo kampeni mtokomeze harufu za vikwapa barabarani, mnatupa tabu sisi wengine yaani ukipishana na kundi la wanaume ni lazima uzibe pumzi ili tu ile harufu mbaya usiisikie,

Na nyie mnaoishi kwenye mikoa ya baridi habari zenu tunazo, mnakaa hata miezi mitatu hamuogi, mnanawa tu uso na kinywa, jamani uvundo lazima uwepo msijipe moyo ooh kuna baridi kwapa langu halitosikika harufu, tunasikia, wengine pua zetu nyembamba ndefu zinanusa hizo balaa,

Povu ruksaaaaaa😤😬
Njoo uje uishi na Mimi Arusha, hautajutia
 
😂😂nimecheka kwenye makwapa yaliyochacha 🙌😅.

Halafu hivi haifai watu wa afya wakatoa somo.
Kama Kuna dawa za hospital basi watu wakatibiwe jamani.
Hili ni tatizo kubwa kwenye Ofisi,Sokoni,Kanisani,vyombo vya kusafiri vya umma,njiani n.k
Kwa kweli inabidi elimu ya usafi itolewe zaidi, ila wenye matatizo hayo ya kiafya ni wachache, wengi wao ni uchafu wa mwili na nguo, kwa Dsm hii mtu anavaa shati siku mbili au tatu kweli jamaniiii,
Nakwambia wakabwe waoshwe makwapa wasuguliwe na limao
 
Hakika ni jf pekee utakutana na watu wanajifanya slay queens ila in real life ndo huyu mleta mada anaishi uswazi kabisa, madume na madanga yake yote yako hivyo ila kuyaambia sasa anaona soo atakosa ugali.

So anaona amalizie hasira zote nyuma ya keyboard
Nyoa makwapa, paka deodorant ukiambiwa suala la usafi usiwe mbishi harufu kali ni moja ya uharibifu wa mazingira pia.
 
Sijui kunuka kwapa,miguu,mdomo vyote cha mtoto. When it comes to a stinking pussy hapo kuna balaa kubwa mno.
Leo tupo na makwapa yenu, maana athari ya kunuka makwapa inaenda kwa wengi kwa wakati mmoja, hayo mengine ni yenu humo chumbani, jisafisheni, vaeni nguo safi usmart uendane na kunukia vizuri
 
Back
Top Bottom