Wanaume pendeni usafi, mnanuka makwapa

Wanaume pendeni usafi, mnanuka makwapa

😂😂nimecheka kwenye makwapa yaliyochacha 🙌😅.

Halafu hivi haifai watu wa afya wakatoa somo.
Kama Kuna dawa za hospital basi watu wakatibiwe jamani.
Hili ni tatizo kubwa kwenye Ofisi,Sokoni,Kanisani,vyombo vya kusafiri vya umma,njiani n.k
 
Hakika ni jf pekee utakutana na watu wanajifanya slay queens ila in real life ndo huyu mleta mada anaishi uswazi kabisa, madume na madanga yake yote yako hivyo ila kuyaambia sasa anaona soo atakosa ugali.

So anaona amalizie hasira zote nyuma ya keyboard
 
Wanawake wengine hawanyoi mavuzi yao. Unaitafuta kei kwenye msitu mkali kwa muda mwingi.

Haipendezi !
1784291126118.gif
 
Mwanaume mara moja moja unatakiwa usmell kibeberu beberu hiyo inaleta mahanjam na kupandisha midadi kwa maduuu!

Kikawaida harufu ya kibeberu ni himilivu kuliko kisamaki kwa mwanamke.
Halafu mbaya zaidi kisamaki huwa hakitoki hata uoge vipi.
Kiukweli demu hata ajikwatuwe vp na haijalishi kafungasha makebo tani ngapi, ukikutana nae kwenye mechi stimu zote hukata na huwezi kutamani hata kuvua boxer bora mechi iahirishwe.

Dr. Mariposa safisheni mbunye zenu zimejaa cramidia coz mnaendekeza kufuga kucha matokeo yake mnatumia tishu kupapasa hiyo misamba.
 
Ni ijumaa nyingine tulivu kabisa, nikiwa nafukiza udi nyumbani kwangu nikakumbuka kitu hiki, ukipishana na wanaume jamani ni aidha uzibe pua au ukubali kunukishwa harufu mbaya ya kwapa, inakuaje mwanaume umevaa vizuri tu ila unanuka kwapa na kuna vikata harufu vya kila aina kwa bajeti anayomudu mtanzania yoyote!!?

Juzi kati hapa nilikua sehemu nabarizi pembeni kulikua kuna wapendanao wanaogelea kwenye swimming pool, sijui ilikuaje yule mwanaume akanyanyua mikono juu yoh! nilihisi kutapika, makwapa yana manywele zimekua kama kapaka bleech yaani niliwaza sana yule mwanamke aliwezaje kukumbatiwa na mtu ana manywele yaliyochacha namna ile, nikawaza hiyo harufu ya kikwapa ikoje kwenye nguo zake na hata mwilini mwake, mmh wanawake wana huruma jamani ptuuuh!

Nimesikia kuna wengine wanavaa boxer mwezi mzima, seriously!!! unavaa nguo ya ndani mwezi mzima huo sio uchafu ni ukichaa kabisa hata humu mpoooo jirekebisheni, nyie ndio mnawapa wanawake zenu mafangasi ya uke,🤢

Hapo sijagusa wale mwenye uso mchafu pua imejaa vidude dude vyeupe, kidevuni ndio usiseme, hivi nyie wanawake mnawezaje kuwakiss watu wa hivyo mbona kinyaa jamani, scrub ya elfu 5 tu nayo mzozo!!

Ushauri wangu konky kwa wanawake kama mwanaume wako hajitunzi, hajipendi, ananuka makwapa, hataki kushave, tengenezeni kikundi chenu cha watu watano watano au kumi, mnakua mnasaidiana kukamkaba huyo mwanaume mchafu na kumfanyisha usafi kwa nguvu, eeh mbona mama zao walikua wanawakaba kunywa uji au wanawapiga bakora wakaoge, hebu anzeni hiyo kampeni mtokomeze harufu za vikwapa barabarani, mnatupa tabu sisi wengine yaani ukipishana na kundi la wanaume ni lazima uzibe pumzi ili tu ile harufu mbaya usiisikie,

Na nyie mnaoishi kwenye mikoa ya baridi habari zenu tunazo, mnakaa hata miezi mitatu hamuogi, mnanawa tu uso na kinywa, jamani uvundo lazima uwepo msijipe moyo ooh kuna baridi kwapa langu halitosikika harufu, tunasikia, wengine pua zetu nyembamba ndefu zinanusa hizo balaa,

Povu ruksaaaaaa😤😬
Usafi ni muhimu sana...kwa zama hizi zipo Deodorant hadi za eflu 2 mia 5 ,ndoo ya maji Ths 100 tena kuna vyoo vya kulipia kuoga jero.

Kunuka kwapa ni uchavu uliopitiliza.

Wanawake wanaongoza kwa usafi ukiachilia changamoto ndogo ndogo za kwa Bi Nyau.
 
Back
Top Bottom