Wanaume pendeni usafi, mnanuka makwapa

Wanaume pendeni usafi, mnanuka makwapa

Mwanaume mara moja moja unatakiwa usmell kibeberu beberu hiyo inaleta mahanjam na kupandisha midadi kwa maduuu!

Kikawaida harufu ya kibeberu ni himilivu kuliko kisamaki kwa mwanamke.
Halafu mbaya zaidi kisamaki huwa hakitoki hata uoge vipi.
Kiukweli demu hata ajikwatuwe vp na haijalishi kafungasha makebo tani ngapi, ukikutana nae kwenye mechi stimu zote hukata na huwezi kutamani hata kuvua boxer bora mechi iahirishwe.

Dr. Mariposa safisheni mbunye zenu zimejaa cramidia coz mnaendekeza kufuga kucha matokeo yake mnatumia tishu kupapasa hiyo misamba.
Nani kakwambia harufu ya kibeberu ni stahamilivu!? mnatupa tabu bhana kunuka sio sifa, na hao wanawake wanaonuka kisamaki maradhi mnawapa nyie msiofua boxer zenu wala mashuka, usmart uendane na usafi
 
Usafi ni muhimu sana...kwa zama hizi zipo Deodorant hadi za eflu 2 mia 5 ,ndoo ya maji Ths 100 tena kuna vyoo vya kulipia kuoga jero.

Kunuka kwapa ni uchavu uliopitiliza.

Wanawake wanaongoza kwa usafi ukiachilia changamoto ndogo ndogo za kwa Bi Nyau.
Thank you King Kong,
Hakika mabro mnapaswa kuwapa elimu wadogo zenu, sio mnawapa tu mbinu za kuchakata muwape na kupenda usafi wao wa mwili, kuna raha yake unapishana na mtu anasmell vizuri ni rahisi hata kugeuza shingo na kutabasamu
 
Usitupangie maisha yetu. Wewe deal na makwapa ya mume wako, inatosha. Mwanaume usiponuka kwapa unakuwa huna tofauti yoyote ile na mwanamke.
Sio kweli, mwanaume hajaumbiwa anuke, upende mwili wako, wamatumbi hua wanasema self care, self love, sijajua maana yake lakini najua inaendana na usafi
 
Hamjakutana na Meneja wangu nikiwa Lindi mwaka juzi 2024. Jamaa ananuka kwapa kama sijui ni kitu kimechacha , akiongea kinywani harufu kama ya chooni vile, plus akiongea mate yanatangulia maneno, confidence mbwa, ubishi ndo usiseme , umalaya sasa 🙌. Nilikuwa naongea nae kwakuwa alikuwa meneja wangu ila tofauti na hapo ingekuwa kazi sana kumsogelea mita 3.

Tetesi zinasema kwamba hiyo ni uchawi aliofanyiwa na mkewe kwasababu ya uzinzi.
Omg! ukimaliza kuongea nae ilikua lazima umeze dawa za maumivu na vitamins, pole sana dear umepitia mazito
 
Back
Top Bottom