Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,522
- 18,253
- Thread starter
- #41
Jasho la mwanaume ni kali sana na linakera, pia wengi wao ndio wana hili tatizo tofauti na wanawakeHili ni suala mtambuka mkuu.
Mchafukoge si kwa wanaume tu, ni jinsi zote wapo.
Nilitegemea hapa uwazodoe wote.
Tatizo umebagua wakati uchafu hauchagui jinsia!