WANAUME: Nimewainulia mikono!!

WANAUME: Nimewainulia mikono!!

Hiyo sio michezo. Ni adhabu... Kumbuka kuwa what goes around comes around
Uko sahihi lkn si kila wakati sometimes haitokei mkuu . Mtu anamtenda mwenzake na bado anadunda tu tena anafunga ndoa na kuishi maisha mazuri ya ndoa. Huyo dada alidhani vyote ving'aavyo ni dhahabu nasikitika imekula kwake. Pia hili ni fundisho kwa wadada wasijiachie sana wawapo kwenye mahusiano na pia wajifunze kusimamia maamuzi yao. Kama msimamo wako ni wa kusubiri ndoa basi jitahidi kusimamama imara lkn subira isiwe kigezo pekee. Chunguzeni kama mtu huyo kweli anamaanisha anachokwambia.
 
Imepangwa yeye ndo awe funzo lwa wengine... Tamaa zimemponza sana....huyo mdada.... tena ingetakiwa jamaa afanye zaidi ya hilo...
 
Imepangwa yeye ndo awe funzo lwa wengine... Tamaa zimemponza sana....huyo mdada.... tena ingetakiwa jamaa afanye zaidi ya hilo...
Itakua vizuri kama atakua amejifunza kwa njia ngumu. Lol kweli dunia sio mwalimu mzuri.
 
Umeona eeeh... Yaan acha kabisa, aliwezajeee??? Mwenzio hapa nakaribia mwnopause, hakuna hata aliyenitania anataka kunioa. 34+yrs ntaolewa kweli?? Hivi wewe hapo una mke, nioe basi hata mke wa tano!!!! :doh:

Taji sifa mama nipme kama utaweza mzk wangu maana mmmhh,,..,,.,.!!!!
 
Hiyo ndo dawa ya wanawake wanaozungusha sana. Soma Signature ya Smile ndo utaelewa.
 
Last edited by a moderator:
aya ni matusi ya rejareja mkuu..

Mkuu matumbo, wewe ndiye umemtusi charminglady, baada ya kutafsiri kuwa ni tusi. Lakini, hadithi yake hata kama ni kweli au ya kutungwa, nimeipenda na itakuwa ni fundisho kwa watu wenye tabia kama hizo. Ushauri uliotolewa haukulenga kutusi mtu, ina maana hujawahi ona hadithi/makala kama hizo kwenye gazeti ikiwa kama hadithi ya kweli. Lengo lake ni kufikisha ujumbe kwa watu wengi kuliko kuishia JF pekee ambako mwenye kuweza kusoma ni yule mwenye access na network ya JF.
 
Last edited by a moderator:
hilo nalo neno
Mkuu hawa wenzetu siku zote ni kulalamika tu, labda wanafikiri wanaoumizwa ni wao tu kila siku.

Hata wanaume tuna yetu ambayo tunafanyiwa na hao hao lakini haijafikia hatua ya kuwaita Mashetani, lakini kwa kuwa wenzetu wana asili ya kuongea kwa sauti ili wapate ahueni basi inakuwa taaabu.
 
Wadada wezangu wakati mwingine msijiwekee malengo ya ndoa kwa mtoto wa mwanamke mwezako, kwa vile sex ni afya wakati mwingine toa for fun kama likitokea la ndoa basi kama akiingia mtini sema hata wewe ulikuwa unatafuta sex ya kukutolea stress. wala hukuwa na mapenzi nae, hutapata maumivu yoyote. Halafu utashangaa ndoa itakuja bila kutegemea tena kipindi ambacho hata ulikuwa hujawaza kuingia kwenye ndoa.
miss wa kinyaru maneno yako ni matamu kama sura yako, na ni mazito kama gari ya Obama na pia ni makali na yanachoma kama tindikali kwa wale wanaoujua ukweli halafu wanapinga tu.
Naomba nikuingize kwenye database yangu ya wakinamama washauri kama hutojali.
 
Usijali Mkuu Grafani11 wewe niingize tu.
 
miss wa kinyaru maneno yako ni matamu kama sura yako, na ni mazito kama gari ya Obama na pia ni makali na yanachoma kama tindikali kwa wale wanaoujua ukweli halafu wanapinga tu.
Naomba nikuingize kwenye database yangu ya wakinamama washauri kama hutojali.

My king is it you au kuna mtu ka hack account yako!!!!!

naanza kuamini maneno ya Mr Rocky sasa.......,mmh mapenzi haya acha tu
 
Last edited by a moderator:
najiuluza baada ya huyu kaka kumpata yule dada kuna nini alikipata akarudi nacho kama ushindi huko mtwara au ni ujinga na ushamba tuu na lazima stile izo ni za kihuni na utazijua tuu mwanamke ukiwa makini.

Hahahaaaaaaa...... Chezeiya wanaume wewe! Yuko radhi aharibu millions of money kisa tu amkomoe mwanamke anayemringia!!!!!!
 
Back
Top Bottom