miss wa kinyaru
JF-Expert Member
- Aug 28, 2012
- 542
- 356
Wadada wezangu wakati mwingine msijiwekee malengo ya ndoa kwa mtoto wa mwanamke mwezako, kwa vile sex ni afya wakati mwingine toa for fun kama likitokea la ndoa basi kama akiingia mtini sema hata wewe ulikuwa unatafuta sex ya kukutolea stress. wala hukuwa na mapenzi nae, hutapata maumivu yoyote. Halafu utashangaa ndoa itakuja bila kutegemea tena kipindi ambacho hata ulikuwa hujawaza kuingia kwenye ndoa.