WANAUME: Nimewainulia mikono!!

WANAUME: Nimewainulia mikono!!

ndo maana mimi nasemaga mtu atoe tu mapemaaa tena bure kabisa...ndoa kitu gani bwana...
 
hajawahi kukuambia hayo Heaven on earth na hebu muulize kwa nini huwa kuna baadhi ya sehem hawezi kukupeleka maana anajua huko ni wanted

kama ndio hivyo na mimi naungana na charming lady kusema wanaume nimewainulia mikono!!!!!!!

yaani hata huyu babe grafani11 anaweza kunifanyia hivi kweli.....:disapointed::disapointed:
 
Last edited by a moderator:
kama ndio hivyo na mimi naungana na charming lady kusema wanaume nimewainulia mikono!!!!!!!

yaani hata huyu babe grafani11 anaweza kunifanyia hivi kweli.....:disapointed::disapointed:
Yaani wewe Malkia wangu Heaven on Earth hujui tu jinsi gani unawaumiza walimwengu hata hivyo unavyoanza kuniita ukianza na neno Babe. Wangependa hata uanze kuniita ukianzia na tusi.
 
kama ndio hivyo na mimi naungana na charming lady kusema wanaume nimewainulia mikono!!!!!!!

yaani hata huyu babe grafani11 anaweza kunifanyia hivi kweli.....:disapointed::disapointed:

Mwone tuu hivyo hivyo na upole wake ameficha makucha tuu kwa sasa na anasubiri ka-honeymoon kako na yeye kaishe aanze michakato yake grafani11 balaa sio kidogo Heaven on earth
 
Hivi kumgegeda mwanamke ni kumkomesha eenh?

Nasema kamkomesha cos alimuahidi kumuoa, mbali na hilo alimwambia aitaarifu familia kuwa anakwenda kujitambulisha lakini akaingia mitini tena katikati ya safari.... Huoni km alimkomesha??????????
 
uwiii grafani11 yaani kumbe ndivyo ulivyo Mr Rocky nashukuru kwa kunifungua macho
Naona Mr Rocky anajaribu kutimiza ahadi yake aliyoniambia kwamba lazima ampate mwanamke wangu kwa gharama yoyote. Ngoja nione kama atafanikiwa kwa Malkia wangu Heaven on Earth huyu huyu ambaye wapo hata wazungu walishindwa kumng'oa yeye atamuweza.
 
Hadithi ina mafunzo mazuri lakini hadi mwisho sijaona kama mwanaume ndiye mwenye mushkeli hapo...shida ipo kwa huyo mwanamke kwani alitema BIG G kwa karanga za kuonjeshwa...
"Wanawake jifunzeni kuacha mbwembwe"
 
Naona Mr Rocky anajaribu kutimiza ahadi yake aliyoniambia kwamba lazima ampate mwanamke wangu kwa gharama yoyote. Ngoja nione kama atafanikiwa kwa Malkia wangu Heaven on Earth huyu huyu ambaye wapo hata wazungu walishindwa kumng'oa yeye atamuweza.
grafani11 mimi huwa sitoi matangazo au kurudia rudia kama matangazo ya habari za vifoo enzi hizo redio tanzania ila mimi ni kimya kimya nikiamua hutajua ila ni vile tuu nakuheshimu mkuu wangu

Ka honeymoon ka aina gani hako? AU unaongelea ile sherehe yetu tuliyokualika ya kutimiza miaka kumi na tano ya ndoa yetu?
Miaka kumi na tano ya ngumi na mateke na visa kila siku umemfanya Heaven on earth apoteze uzuri wake kwa ajili ya visa vyako
 
Last edited by a moderator:
Doh! Huyo mwanaume amekwenda extra miles kwa ajili ya kukomoa tu? Kweli alidhamiria. Kina dada mume mwema hupatikana kwa Bwana ombeni pasipo maombi mtaishia kupata vimbwanga humu duniani.
 
Back
Top Bottom