WANAUME: Nimewainulia mikono!!

WANAUME: Nimewainulia mikono!!

huu ndio maana nakupendaga Mr Rocky huna mambo ya kusukumiziana Bill,

ikifika mda wa kulipa inakua mtafutano.....

Unakumbuka siku ile grafani11 alivyoleta ugomvi kisa bill yake iliongezwa elfu mbili na yule bar maid uliona alivyowaka karibu avunje na glass
Mpaka tuliona soo kusema alikuwa kwenye kampani yetu maana ugomvi usio na maana kwa ajili ya elfu mbili tuu
halafu kabill kenyewe basi tulikula kamchemsho tuu na wine kidogo ila duh balaa
 
Last edited by a moderator:

Umechemka tena, kwa taaarifa yako huwa siendagi kwenye viwanja vinavyohudumiwa na Bar maid, mimi ni mtu wa swala tano za jumapili hata Malkia wangu anajua.
 
Haya bwana mkubwa naona toka jana umedhamiria kile ulichowahi kuniambia utakifanya humu hata umesahau kunisabahi leo bhana.

Mimi na Heaven on earth tunajuana mambo yetu bana na wala hatuna mpango wa kukupindua grafani11 wasi wasi wako tuu hujui Heaven on earth ananifanyia mpango kwa mdogo wake ndo maana huwa tunahama hapa uwanjani tunaenda chumbani kule kuyaongea
Dogo angalia sana

Umechemka tena, kwa taaarifa yako huwa siendagi kwenye viwanja vinavyohudumiwa na Bar maid, mimi ni mtu wa swala tano za jumapili hata Malkia wangu anajua.
:tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape: grafani bora ninyamaze maana nikisema hata sisimizi watacheka

Mwambie bhana, mbona yeye anampamba Mr Rocky toka jana lakini grafani11 hapandishi presha.

We acha wivu wako bana kwani kuna noma gani akinipamba aise
 
Last edited by a moderator:
Mimi na Heaven on earth tunajuana mambo yetu bana na wala hatuna mpango wa kukupindua grafani11 wasi wasi wako tuu hujui Heaven on earth ananifanyia mpango kwa mdogo wake ndo maana huwa tunahama hapa uwanjani tunaenda chumbani kule kuyaongea
Dogo angalia sana

:tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape: grafani bora ninyamaze maana nikisema hata sisimizi watacheka

We acha wivu wako bana kwani kuna noma gani akinipamba aise
grafani11 kwani umesahau ile siku tulienda pale kupata mchemsho,

mie na Mr Rocky hakuna kinachoendelea na leo jion nimepanga kukutana nae

kwa hiyo ulifanya makusudi ili na miss wa kinyaru ili kuumiza mtima wangu!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
grafani11 kwani umesahau ile siku tulienda pale kupata mchemsho,

mie na Mr Rocky hakuna kinachoendelea na leo jion nimepanga kukutana nae

kwa hiyo ulifanya makusudi ili na miss wa kinyaru ili kuumiza mtima wangu!!!!!!
Sikufanya makusudi Malkia wangu ila jamani sio siri miss wa kinyaru leo alinifurahisha sana kwa hoja yake mpaka nikajikuta ghafla nimemsifia tu.
 
Back
Top Bottom