WANAUME: Nimewainulia mikono!!

WANAUME: Nimewainulia mikono!!

Mkuu matumbo, wewe ndiye umemtusi charminglady, baada ya kutafsiri kuwa ni tusi. Lakini, hadithi yake hata kama ni kweli au ya kutungwa, nimeipenda na itakuwa ni fundisho kwa watu wenye tabia kama hizo. Ushauri uliotolewa haukulenga kutusi mtu, ina maana hujawahi ona hadithi/makala kama hizo kwenye gazeti ikiwa kama hadithi ya kweli. Lengo lake ni kufikisha ujumbe kwa watu wengi kuliko kuishia JF pekee ambako mwenye kuweza kusoma ni yule mwenye access na network ya JF.

sawabho mura omweito hii sio hadithi na kutunga, ni kweli kabisa ilitokea na aliyenisimulia ni "Maneno" mwanaume aliyeachwa na Mrembo Tumain!!!!

Nimeileta humu ili iwe fundisho kwetu sote.... Wachana na matumbo.....
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
34yrs, mnene, mweusi, mfupi wa 4.8ft.... Wewe je?

Dah yani i love that, yan napend black, emb tukae sehem tulonge mama watoto!!!

Kuhusu umri sijawahi fanya mapenz na miaka, ilimradi ujue ku shake kwa bed!!!!

UPO HAPO!!!! NADHANI UMEELEWA
 
nimeisoma zaidi ya mara 20,lakini nnachokiona ni my king kumsifia huyo mdada,

mie mara ya mwisho sijui ulinisifia lini
Leo asubuhi tu kabla sijatoka kitandani nilipokuangalia nikakusifu, ulipoamka ukatinga ile kanga moko yako ukielekea kuniandalia kifungua kinywa mashaaalaaah nilikusifia, ulipotoka bafuni bila kitu kumwili nikakusifia. Bado tu Malkia wangu.
 
Dah yani i love that, yan napend black, emb tukae sehem tulonge mama watoto!!!

Kuhusu umri sijawahi fanya mapenz na miaka, ilimradi ujue ku shake kwa bed!!!!

UPO HAPO!!!! NADHANI UMEELEWA

Oooooh.... Ok, haya weka na wewe CV yako sasa!
 
Leo asubuhi tu kabla sijatoka kitandani nilipokuangalia nikakusifu, ulipoamka ukatinga ile kanga moko yako ukielekea kuniandalia kifungua kinywa mashaaalaaah nilikusifia, ulipotoka bafuni bila kitu kumwili nikakusifia. Bado tu Malkia wangu.

hapo sawa nimekumbuka,yaani nilivyokuwa
broken-heart.gif
hadi kumbu kumbu yoote ikapotea

ila iwe mwanzo na mwisho babe
 
Back
Top Bottom