Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,233
- 26,753
Ninahisi kale kavita baridi ka mwaka 47 kanataka kujirudia tupige magoti tuombe "eee Mungu utuepusha na janga hili maana bila mwanamke mwanaume hana thamani duniani na bila mwanaume mwanamke hana thamani duniani tupendane wala tusigombane tupeane wala tusinyimane AMENI"
kanajirudia kwa kasi ya ajabu..........
Amen..............