Mie nadhani yana sababu kuwepo pale hivyo hata yasipoondolewa nadhani hakuna shida kikubwa ni usafi ikiwezekana unayachana na kupaka mafuta kwa mbaliiiiiNImefanya upekuzi mkuu wanaume wengi ni wavivu wa kunyoa kunako sehemu za sirini, utamkuta nje kaulamba ndani km katani vile
NImefanya upekuzi mkuu wanaume wengi ni wavivu wa kunyoa kunako sehemu za sirini, utamkuta nje kaulamba ndani km katani vile
Ombi laweza kukubaliwa au kukataliwa.............
ila bora umewaambia I hope watajirekebisha wanapoweza
Hivi wanaume wanajuaga kufua na kuji shave wenyewe? Mi naonaga sisi ndiyo tunawafanyiaga hayo. Ukimkuta mchafu ujue demu wake au mke wake hamjali.
Mimi napenda kumtake care wa kwangu awe smart. Namnunulia boxers za kutosha za cotton, leso pamoja na vests, namfulia, na kuzipiga pasi, na kumshave kwapa mpaka kule chini... Huezi kumkuta mchafu never!!!
Mkuu wiki ni siku saba, maswala ya kubadilisha mara 4 ni ujinga..
Boxer inabadilishwa kila siku, tena ikiwezekana hata kwa wiki moja zivaliwe zaidi ya saba, angalau 10..
ahaaaaa!! Yaani leo kavamia wanaume. Ila nakubali kweli wanaume wanyoe na kufua boxers zao. Ila inatia kinyaa zaidi kwa mwanamke maana kwao ndio majanga hasipofua hizo pichu zao na kunyoa vikwapa. Mwanaume ameumbwa si mtu wa kutoa har..fu ila ukikuta mwanamke hajaosha hiyo pichu au kunyoa uko sirini inatapisha
kama we ni kulakulala sawa,si wachumia juani
Mkuu una hela ya kuja jamiiforums afu unajiita mchumia juani? Kuliko jamiiforums usafi wako ni muhimu sana, sasa ni bora usiingie jamii forums hata kama ni mwezi utunze hela za vocha au kama ni cafe unalipa ununue boxer, em acha mambo hayo bna, mbona visingizio vingi mazee mtatuabisha wanaume humu ndani.. boxer ikikushinda ya bei juu kwani ya buku mbili ipo unanigotiate, ikishindwa nunua tatu bac, ukivua unafua unabadilisha, swala ni kubadilisha boxer kila siku ndicho kinachoongelewa, sasa kama wewe unaona dili unamaliza kuoga then unatupia ile ile ati hela, mkuu kichwani una maji kama vocha ni bora kuliko usafi wa mwilikama we ni kulakulala sawa,si wachumia juani
Ahsante kwa kunisaidia kuuliza maana watu wanavotetea kuvaa boxer ileile baada ya kuoga duh, aibu hii kwa sisi wanaume humu ndani hadi jamiiforums great thinkers wachafu, its pretty dangerous.. ndio maana nasikia kaharufu kanatoka kwenye display hapa, yaweza kua baadhi ya raia kwenye hii post maana nikiifunga kaharufu kanakatawachumia juani ndo wakina nani.........................
Kuwa na boxer moja ni dhambi.
mavuzi mafupi yaliyonyolewa humchoma mwanamke mbapokuwa ulingoni......pia marefu huongeza hisia kwa mwanamke sababu wengi hupenda kuyachezea
Swali? Omeona wapi kuwa wanaume hawakwangui mavuzi, mbona tutakuelewa vingine mwana!
leo uje jamani ya nini kuniweka ham juu juu mtoto wa mwanaume mwenzio
Mkuu una hela ya kuja jamiiforums afu unajiita mchumia juani? Kuliko jamiiforums usafi wako ni muhimu sana, sasa ni bora usiingie jamii forums hata kama ni mwezi utunze hela za vocha au kama ni cafe unalipa ununue boxer, em acha mambo hayo bna, mbona visingizio vingi mazee mtatuabisha wanaume humu ndani.. boxer ikikushinda ya bei juu kwani ya buku mbili ipo unanigotiate, ikishindwa nunua tatu bac, ukivua unafua unabadilisha, swala ni kubadilisha boxer kila siku ndicho kinachoongelewa, sasa kama wewe unaona dili unamaliza kuoga then unatupia ile ile ati hela, mkuu kichwani una maji kama vocha ni bora kuliko usafi wa mwili
Jitahidini kukwangua mavuzi ya sirini na ya kwapani,,,,
bila kusahau boxer zenu kubadilisha walau mara nne kwa wiki
Ni ombi tu