habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,789
- 8,752
- Thread starter
- #101
Nimecheka sana kwa hili! Ila, inategemea huyo mtu ana shuguli gani, na mlalamikaji pia! Sasa kama mwanamme anaishi Tandika, na wewe unaishi Sinza, unashangaa nini kwa haya yaliyokutokea? Huko mbagala, rangi tatu, kwa manyusi, kwa mkunadengu, kwa azizi, mtongani, ni kitu cha kawaida. Usituletee zako umejitakia mwenyewe!
Mkuu niombi tu hili wanayoyafuga wawe wanapunguza kidogo