Public Enemy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2011
- 3,063
- 3,630
Mkuu wiki ni siku saba, maswala ya kubadilisha mara 4 ni ujinga..
Boxer inabadilishwa kila siku, tena ikiwezekana hata kwa wiki moja zivaliwe zaidi ya saba, angalau 10..
kama MWANAUME ukivaa boxer zaidi ya 7 kwa wiki na MWANAMKE avaeje? Tofauti hlo wapi? BINAFSI boxer 2 tu zantosha na zitafuliwa na kubadilishwa endapo tu nitapata mechi ya kirafiki.