Wanaume na nywele za sehemu ya siri

Wanaume na nywele za sehemu ya siri

Jitahidini kukwangua mavuzi ya sirini na ya kwapani,,,,
bila kusahau boxer zenu kubadilisha walau mara nne kwa wiki
Ni ombi tu

Dah...mtu kweli anaweza rudia boxer?...kama boxer inarudiwa kuvaliwa kesho yake vipi kuhusu soski si ndoo itavaliwa wiki nzima mh...majangaa!
 
kwa hiyo utakua unakaa tu nyumbani kusubiri muda wa kubadilisha boxer? ww kweri debe tupu
Una muda wa kuingia kuchat jamii forum afu unaniambia huna muda wa kuoga ubadili boxer? u gotta be joking man! au hiyo profile pic yako huyo mzee ni wewe nini? nunua boxer msela acha kutumia hela jamiiforum afu unalia kuvaa boxer moja kila siku
 
Hivi vita vitaisha lini??? WA awake ma wanaume jamani nini tena/ kila siku no maneno
 
Jitahidini kukwangua mavuzi ya sirini na ya kwapani,,,,
bila kusahau boxer zenu kubadilisha walau mara nne kwa wiki
Ni ombi tu

Kwa swala la Mazivu kabla ya kumpa papuchi hakikisha umemTOPAZ kwanza...hili la kwapani limeshamiri zaidi kwa wajinsia yako labda kwa sababu wanatuanikia kwenye madaladala na mitaani. La boxer nalo lina utata wake ktk makundi matatu.... kuna wenye nyingi wavivu kufua... wenye chache mahodari kufua ila kipindi cha baridi watarudia hata siku 3....kuna wenye either nyingi or chache ila kuzivua kwa ajili ya kufuliwa hadi wanuse kama zinatoa kijiharufu. Ushuhuda: Binafsi nipo kati ya hayo makundi matatu ila kwa leo tuishie hapa.
 
Mi hani wangu anapendelea kuyachana na chanuo ..anasema yanamnyegeresha akiwa anayachana.........amenisuka utii wa roda.
 
NImefanya upekuzi mkuu wanaume wengi ni wavivu wa kunyoa kunako sehemu za sirini, utamkuta nje kaulamba ndani km katani vile

Tatizo sio kusahau, ila ukinyoa mara nyingi kwanza wakati za kuota kunawasha sana, kwa utakuwa unaaibika kila wakati kujikuna, mwisho watakuita omari ngwaraaaaaa ngwaraaaaaaa.
 
Kwa swala la Mazivu kabla ya kumpa papuchi hakikisha umemTOPAZ kwanza...hili la kwapani limeshamiri zaidi kwa wajinsia yako labda kwa sababu wanatuanikia kwenye madaladala na mitaani. La boxer nalo lina utata wake ktk makundi matatu.... kuna wenye nyingi wavivu kufua... wenye chache mahodari kufua ila kipindi cha baridi watarudia hata siku 3....kuna wenye either nyingi or chache ila kuzivua kwa ajili ya kufuliwa hadi wanuse kama zinatoa kijiharufu. Ushuhuda: Binafsi nipo kati ya hayo makundi matatu ila kwa leo tuishie hapa.

Hapo kwenye bluu nakubaliana nawee mtu anavaa hadi anuse km ina harufu ndo abadilishe, na kwenye kwapa daaa! haya bana ila madume huko chini wamezidi
 
hapo kwenye boxer kwanini mbadilishe "walau mara 4" ina maana siku nyingine mrudie?

Ndo nlipochoka. mwanzoni nlifikiri mara nne kwa siku kumbe kwa wiki!!! Yani ukirudia kwa siku mbili poa tu!! Kabibi kenu mbona kataniua kakijua nimerudia? Katika hali ya kawaida utarudiaje boxer? Uvivu wa kufua au?
 
NImefanya upekuzi mkuu wanaume wengi ni wavivu wa kunyoa kunako sehemu za sirini, utamkuta nje kaulamba ndani km katani vile

Hili halinihusu mimi ni muumini wa....angalia signature yangu.Nnaposema hivyo nina maanisha ninachosema pia nasema ninachomaanisha!Samahani kama nitakukwaza..au isijekuwa tushakutana asa ndo unanisema wewe/mimi bila kujua!Ah na-log out.
 
Ndo nlipochoka. mwanzoni nlifikiri mara nne kwa siku kumbe kwa wiki!!! Yani ukirudia kwa siku mbili poa tu!! Kabibi kenu mbona kataniua kakijua nimerudia? Katika hali ya kawaida utarudiaje boxer? Uvivu wa kufua au?

Ishu nzima siyo kubadili unaweza kuwa unaivaa kila siku sioni tatizo.Je kama huifua kila usiku (kauka nikuvae) asbh imakauka unaitimba mi sioni baya hapo bana.Sasa kama izo unazobadili kila siku hazifuliwi ndo la maana au...mpango mzima usafi bwana acheni hizo.
 
[Wengine sisi ni marasta.Imani zinatufunga kidogo]

Ha ha ha
 
Hili halinihusu mimi ni muumini wa....angalia signature yangu.Nnaposema hivyo nina maanisha ninachosema pia nasema ninachomaanisha!Samahani kama nitakukwaza..au isijekuwa tushakutana asa ndo unanisema wewe/mimi bila kujua!Ah na-log out.

hapa hakuna kukwazana ni kueleweshana tu
log in bac khaaaa!
 
Back
Top Bottom