Mkuu sijatoa siri ya mtu kwani sijataja jina la mtu hapa, vumilia tu na ukayapunguze
heheheheeeeee!!!teh teh teheeee!!napita tu!!
steel wire sana huko babu ..unaweza kuchanwa hadi ukashonwe na nyuzi aiseePole kwa yaliyokukuta.
sio wanyoe yote, sema yawe mafupi
yaani ukikutana na mwanaume aliyenyoa yote hata hamu inaweza kukuisha
hayo ya wanawake ungeanzisha thread tofauti bana..........
Du usiseme kidada wakae siku mmoja bila ya kuchamba wee hakukaliki.. Samahanini huo ndio ukweli
Jitahidini kukwangua nywele za sehemu ya siri na nywele za kwapani.
Pia bila kusahau boxer zenu kubadilisha walau mara nne kwa wiki.
Ni ombi tu
Jamani jamani.....
Hata husalimii wee wapita tu?
imebidi nipite maana
wakija na joto hasira tutajuta
tuliocoment!!
Jitahidini kukwangua nywele za sehemu ya siri na nywele za kwapani.
Pia bila kusahau boxer zenu kubadilisha walau mara nne kwa wiki.
Ni ombi tu