Hivi wanaume wanajuaga kufua na kuji shave wenyewe? Mi naonaga sisi ndiyo tunawafanyiaga hayo. Ukimkuta mchafu ujue demu wake au mke wake hamjali.
Mimi napenda kumtake care wa kwangu awe smart. Namnunulia boxers za kutosha za cotton, leso pamoja na vests, namfulia, na kuzipiga pasi, na kumshave kwapa mpaka kule chini... Huezi kumkuta mchafu never!!!