Tiba za nywele

Tiba za nywele

Dr. Zaganza

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
1,755
Reaction score
2,660
  • Nywele zinaweza kutibiwa njia mbalimbali
  • Kemikali
  • Mimea
  • Mafuta
Hivi vyote vinaweza kuchanganywa katika bidhaa

  • Shampoo
  • Conditionner
  • Steaming
  • Proteins
  • Mafuta ya Maji/ Mgando
  • Lotions

KEMIKALI
  • Kemikali mbalimbali za viwandani uwekwa katika bidhaa ili kupata matokeo fulani katika Nywele
  • Baadhi yake ni:-
  1. Zinc
  2. Baking Powder
  3. Salicylic
  4. Citric Acid
  5. Glycerine

MIMEA
  • Alovera
  • Okra/Bamia
  • Pilipili Hoho
  • Ndizi
  • Majani ya Papai, Avocado, Mpera, Mnyonyo
  • Kitunguu Swaumu
  • Kitunguu maji
  • Nyama ya Parachichi
  • Chebe

MAFUTA
  • Bees Wax (wax/binder, moisturizer)
  • Honey
  • Castor
  • Shea Butter (oil)
  • Coconut
  • Olive
  • Argan
  • Jojoba
  • Avocado
  • Sweet Almond
  • Grapeseed
  • Macadamia Nut
  • Baobab
  • Alizeti


Wajasiriamali wa bidhaa za nywele na ngozi ,karibuni darasani online kwa 0713 039 875 . darasa bure
 
Back
Top Bottom