Wanaume msipoacha kuringia uchache wenu mtabaki wenyewe!

Wanaume msipoacha kuringia uchache wenu mtabaki wenyewe!

Hivi wanaume kwanini mnaringa siku hizi mara simtaki huyu mara naoa mke mrefu mara humtaki huyu unamtaka huyu?

Mwishowe mnaoa majini iko siku mtagegeda majini na malaya tu. Seriously mtabaki wenyewe.

Juzi hapa mtu aliringa leo kaja analia. Acheni kuringa, duniani wapo watu wengi sio Tanzania tu.
Kuna nchi nyingi sana wanaume wapo.

Mi natania tu msizani kweli
Hata mm najua unatania
 
upepo ushageuka ....
zama za wanawake kuringa zimepita saizi ni ku-suffer tu, mtu akijikuta mzuri minato mingi ni kutupa tu na kuangalia kwingine maisha yenyewe haya.

Ila wanaune haturingi, sema kujikubali..
Viva kwa wanaume wote mnaojikubali.
Vivaa
 
Mahusiano ni complex ishu sema wengi wetu tunayachukulia easy tunakurupuka ovyo siku mbili tatu kila mtu anachukua time alafu mnaona watu wabaya
 
Hivi wanaume kwanini mnaringa siku hizi mara simtaki huyu mara naoa mke mrefu mara humtaki huyu unamtaka huyu?

Mwishowe mnaoa majini iko siku mtagegeda majini na malaya tu. Seriously mtabaki wenyewe.

Juzi hapa mtu aliringa leo kaja analia. Acheni kuringa, duniani wapo watu wengi sio Tanzania tu.
Kuna nchi nyingi sana wanaume wapo.
Hujui uchache wa bidhaa sokoni, demand inaongezeka!!
Hatuachi kuringa kuwachambua kama karanga, na wake hatuwezi kukosa.. pole mkuu
 
njoo kwangu ule mema ya nchi achana na hao wanaume uchwara wasiojua kumpenda mtoto mzuri kama wewe nipe budget yako ya outing nikuandalie mambo mazuri
Hata hili nalo ni tego... wacha ndege mjanja anaswe hahaha
 
Hivi nani kawaambia nimetemwa na mtu mimi sitemwagwi mimi naachaga
 
Wai wanaume sio wakunipa presha nyie nikazi ndogo tukwangu mtu akiitaji maneno au njia yakuwalipizia hawa niambieni do not hesitate to pm me to wazingue haya makitu yanayoumiza watoto wawatu kama ninao wafahamu hao wehu wengine
 
kunywa maji hata kidogo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom