Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,480
Nasubir aniruhusu tuweke TBT zetuuuTunaisubiri kwa hamu
Nasubir aniruhusu tuweke TBT zetuuuTunaisubiri kwa hamu

Nani hao tena unaowachukiaKiukweli nawachukia
Ndio mkuuUnamchukulia dhamana?
Usiogope bhanaNaogopa
Sawa bwana.... Watu na bahati zaoNdio mkuu
Pole sana, nini chanzo cha hasira hizo juu yetu hata sisi tusiojulikana?Kiukweli nawachukia
Poanjoo rudii kulee
TumeupokeaNa ujumbe uwafikie
AsanteSawa bwana.... Watu na bahati zao
Wanaringa kisa eti wachache, kuna mbaba alikuwa na mke mzuri tu lakini si kuchepuka huko dharau vipigo mama wawatu kisa nini kasogea pembeni sahizi yupo juu, sasa baba yangu kaenda kuokota kibinti kidogo kama mwanawe kanavyo mfanyia sasa kawa bwege kabisa na uafande wake, waswahili walisema mkataa pema pabaya panamwitaMwanaume anaanzaje kuringa
Aisee amevuka mkojo akakanyaga upande wa piliWanaringa kisa eti wachache, kuna mbaba alikuwa na mke mzuri tu lakini si kuchepuka huko dharau vipigo mama wawatu kisa nini kasogea pembeni sahizi yupo juu, sasa baba yangu kaenda kuokota kibinti kidogo kama mwanawe kanavyo mfanyia sasa kawa bwege kabisa na uafande wake, waswahili walisema mkataa pema pabaya panamwita
Hilo janga yaani mwanaume akienda tu kupata huduma basi kila siku simu anataka kutolewa out sasa mtu anaye ampendaye wakitoka ni bia chips akitoka hapo anablock na no.ya simu yake nikusonya tuTabia yako mtoto wa kike kutongoza wanaume kuna siku itakugharimu,believe me!!
Ndiyo maana yake na kumpata haiwezekani naye ana mwingine unaye mfahamu ukimuona mpaka imani sijui kama kuna wanaojifunza toka kwakeAisee amevuka mkojo akakanyaga upande wa pili