Wanaume msipoacha kuringia uchache wenu mtabaki wenyewe!

Wanaume msipoacha kuringia uchache wenu mtabaki wenyewe!

Ni kwanini idadi yenu duniani kote inazidi kuongezeka wakati huo huo sisi wanaume unashuka?


Note: pamoja na kushuka humo humo kuna mahanisi, mashoga n.k
Bado wala unga wote hao hawana wake na magerezani wamejaa wanaume vitani wengi me shida tupu
 
Katoto kazuri ambatanisha na picha yako ili wanaume tuweze kufikiria maombi yako
 
Wacha tubaki wenyewe...mbona adamu alikuwa mwenyewe....hawa akaletwa baaaàaaààdae na akaharibu
 
Hahaa.. Pole washakukula CHI CHI huko halafu hasira zako ukaona uje kuzimwagia humu.
Pooleee
 
Eti hapa mnajidai mme poza ili tusiwaseme tunawasema hadi basi
 
Waongooo ukitembea na mwanamke lazima mtangaze kwann hamuweki maneno kwenye kifua mnanikera sana ndo maana mm sitak mpenzi
Hao ni wavulana ss, Mm kama Mwanaume sijawai fanya huo upuuzi.
Uache kuDate vivulana ss Demiss
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom