Wanaume msipoacha kuringia uchache wenu mtabaki wenyewe!

Uko chekechea nadhani umeanza ndio mnaunda sentensi unajitahidi nimekusikia katoto kakiume
SAWA, MM HATA CHEKECHEA SINA ILA WEWE HATA UKIWA PHD, HIYO NI YAKO TUU HONGERA SANA katoto kazuri NAKUSHUKURU KWA KUNISIKIA TOTO LA KIKE.
 
Hivi wanaume kwanini mnaringa siku hizi mara simtaki huyu mara naoa mke mrefu mara humtaki huyu unamtaka huyu?

Mwishowe mnaoa majini iko siku mtagegeda majini na malaya tu. Seriously mtabaki wenyewe.

Juzi hapa mtu aliringa leo kaja analia. Acheni kuringa, duniani wapo watu wengi sio Tanzania tu.
Kuna nchi nyingi sana wanaume wapo.
Hebu nitafute tuyajenge
 
Nina vigezo vyangu na kamwe siwezi kivipuuzia kwa kauli ya mwanamke tabia
Yaani usipokuwa makini unaweza oa mke ukamweka ndani kama pambo halafu unaendeleza uzinzi nje kwanini usitafute unayempenda na kuridhika acha waoe tabia mwishowe wanaishia kwa beki 3 kisa mara ohoo mke hajipendi mara yukoje, nakuwafuta waweka kope za bandia [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] unaoa mke ambaye unashindwa hata kwenda naye kwenye sherehe, naikitokea ummenda unamtanguliza. Shida yote ya nini?
 
Haha leo naona ume amua kutulea povu bila Shaka hao wanaume wa dar
 
Hivi wanaume kwanini mnaringa siku hizi mara simtaki huyu mara naoa mke mrefu mara humtaki huyu unamtaka huyu?

Mwishowe mnaoa majini iko siku mtagegeda majini na malaya tu. Seriously mtabaki wenyewe.

Juzi hapa mtu aliringa leo kaja analia. Acheni kuringa, duniani wapo watu wengi sio Tanzania tu.
Kuna nchi nyingi sana wanaume wapo.
Huu mtindo wa kuchagua mmeuwanzisha nyie wanawake ..Ukimtaka mwanaume vigezo kibao hata kuomba kazi kuna afadhari
 
Hii kali sana, sijawahi kuona mwanaume anamringia demu, ila lisemwalo lipo..
Ila kwa hili hapana dada..
 
tatizo katoto kazuri anaachika sana...kila mtu akigusa mara moja harudi, ndiyo maana anataka kwenda kudanga nje ya nchi
 
Na bado tutaendelea kuringa sana tu, kwanza tupo wachache na wanawake wazuri ni weengiii tena kuna kizazi kipya cha under 20🙂🙂. Nyie wazee pambaneni na babu zetu huko.
 
Hivi wanaume kwanini mnaringa siku hizi mara simtaki huyu mara naoa mke mrefu mara humtaki huyu unamtaka huyu?

Mwishowe mnaoa majini iko siku mtagegeda majini na malaya tu. Seriously mtabaki wenyewe.

Juzi hapa mtu aliringa leo kaja analia. Acheni kuringa, duniani wapo watu wengi sio Tanzania tu.
Kuna nchi nyingi sana wanaume wapo.
kwakweli
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom