Wanaume msipoacha kuringia uchache wenu mtabaki wenyewe!

db5fc544d4d9ade470af8e3adc95e0a3.jpg
Ukiona manyoya Ujue kishaliwa, ha hahaaaa!!
 
Hivi wanaume kwanini mnaringa siku hizi mara simtaki huyu mara naoa mke mrefu mara humtaki huyu unamtaka huyu?

Mwishowe mnaoa majini iko siku mtagegeda majini na malaya tu. Seriously mtabaki wenyewe.

Juzi hapa mtu aliringa leo kaja analia. Acheni kuringa, duniani wapo watu wengi sio Tanzania tu.
Kuna nchi nyingi sana wanaume wapo.
Jamaa alikukopa nini mkuu..

Naturally, wanawake mpo wengi kuliko sisi so wanaume at some point watakuwa very picky.

Huwezi pambana na nature, mwanamke yeyote anaweza kosa mume wa kumuoa lakini hakuna mwanaume atakosa mke wa kuoa. That's the way it is.
 
inabidi wanawake tuwa andalie application form, ya ku apply ndoa, unaambatanisha picha zako kazaa, cv yako yenye maelezo yanayo jitosheleza! you are so many, we need the best women! nyie endeleeni kucheza midundiko, na kuvaa uchi barabarani, mzeekee kwenu!
 
kunya anye kuku akinya bata kaharisha! amakweli kua uyaone sio maghorofa wa baiskeli, kama wanakugegeda then wanakuringia change motion. anza kusagana tu kwani vepeeee!!!!!
 
Wanaume wamenikeraa mm ndo maana kila siku nawachamba wanajifanya wenyewe ndo vibonde hapa duniani mxeeew kabisa
Pole, Wamekukera ndio lakini mwisho wa siku huwezi ishi bila mwanaume. (baba, kaka, mtoto, mjomba, babu,etc)

Hapa duniani wanaume ndo wanaotawala, whether you like it or not.
 
Jamaa alikukopa nini mkuu..

Naturally, wanawake mpo wengi kuliko sisi so wanaume at some point watakuwa very picky.

Huwezi pambana na nature, mwanamke yeyote anaweza kosa mume wa kumuoa lakini hakuna mwanaume atakosa mke wa kuoa. That's the way it is.
Bezikale uko saghwa.....
 
Mwanamke ujanja ukiwa nannguo zako mwilini. Nikikuvua no way utanilingia tena. Unatakiwa kunibembeleza
 
Haha si kwa povu hilo inaonesha akina rama k na ali chogo washaweka chapa kunako papuch tayar
 
inabidi wanawake tuwa andalie application form, ya ku apply ndoa, unaambatanisha picha zako kazaa, cv yako yenye maelezo yanayo jitosheleza! you are so many, we need the best women! nyie endeleeni kucheza midundiko, na kuvaa uchi barabarani, mzeekee kwenu!
Infwakti nimekuelewa vizuri,
Akchware kutakuwa na intavyuu pia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom