Wanaume msipoacha kuringia uchache wenu mtabaki wenyewe!

Wanaume msipoacha kuringia uchache wenu mtabaki wenyewe!

Wanaume wamenikeraa mm ndo maana kila siku nawachamba wanajifanya wenyewe ndo vibonde hapa duniani mxeeew kabisa
Unazichanga vibaya, lakini pia ukimshirikisha Mungu atakusaidia kupata mwanaume sahihi na si mvulana.
 
Kama kunasiku mtu kaja kalewa sana tu changa halafu akagonga mama sara fungua mlango mke kufungua akamwambia mara ngapi nimekuambia sikutaki toka kwangu yule mwanamke akachukua vitu vyake akatoka akaenda na watoto wake baadae sasa i mean asubuhi kuamka hakuna mama wala watoto tafuta akamua kumpigia wife .
Wife akamwambia jana uliniambia hunitaki niondoke nikaondoka na watoto.
Kumbe yeye kwa pombe alimfukuza mke wake akizania ni mdada anayemtakaga pombe ni mbaya sasa kaachwa .
Haya.
 
Hivi wanaume mnaringa siku hizi mara simtaki huyu mara naoa mke mrefu mara humtaki huyu unamtaka huyu mwishowe mnaoa majini iko siku mtagegeda majini na malaya tu .
Seriously mtabaki wenyewe.
Juzi hapa mtu aliringa leo kaja analia .
Acheni kuringa oh dunia wapo watu wengii.
Sio Tanzania tu.
Kuna nchi nyingi sana wavulana wapo.
CHIEF VIPI???
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom