mzeewakungoa
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,969
- 13,920
HmmmmOooh
Shunie yuko kwenye story kule... Ngoja atakuja!! Punguzeni tu kuringa mkule mema ya nchi
HmmmmOooh
Shunie yuko kwenye story kule... Ngoja atakuja!! Punguzeni tu kuringa mkule mema ya nchi
SaaaanaaaaHivi wanaume pia huwa wanaringa?
Halafu baadaye??Hahaha
Nimejikuta nacheka tuu mie... Hebu anza na mleta mada bwana!!
Hata wewe katoto kazuri wakuringia?! Pole sana, wasamehe bure.Hivi wanaume mnaringa siku hizi mara simtaki huyu mara naoa mke mrefu mara humtaki huyu unamtaka huyu mwishowe mnaoa majini iko siku mtagegeda majini na malaya tu .
Seriously mtabaki wenyewe.
Juzi hapa mtu aliringa leo kaja analia .
Acheni kuringa oh dunia wapo watu wengii.
Sio Tanzania tu.
Kuna nchi nyingi sana wavulana wapo.
Ukijaliwa ndio kwanza unatangaza unamtangazia nani?CHIEF VIPI???
Ale mema ya nchiHalafu baadaye??
Ha ha ha ha ha.... Kwa hio mimi simo eeh?We sidhani kama unaringa babu ake shunie... Hiyo ID tuu inaonyesha!!!
Hmmmm....Saaaanaaaa
Hasa wakishajua ni wazuri!!! Kuna wengi sana wananiringia humu
HahahaHa ha ha ha ha.... Kwa hio mimi simo eeh?
Ukijaliwa ndio kwanza unatangaza unamtangazia nani?
Mtu anahakikisha upo sawa unamjibu vibaya.
Yule ambaye unakutreat fresh ndio unamwona hafai .dah
Sawa bwana mpeni tuAle mema ya nchi
Atapewa na mleta madaSawa bwana mpeni tu
Halafu kuna njemba zinajuwa kutafuna aisee! Yaani ni kata funuwa, geuza geuza, mpaka mtoto wa watu anadata, akiachwa njemba ikisepa lazima demu afyatuke tu..Naona washakula vyao wamekukimbia umekuja kumalizia hasira zako Jf
Wewe rafiki yake Shunie wacha tabia mbaya .. ...Nani kakwambia jina linatafsiriwa? Unataka kuharibu Jina langu nitaenda NIDA unajua?Hahaha
We haumo kabisaaa... Unawang'oa tuu
True kweli sio uongo wakiwapotezea oh nimetemwa oh basi mapenzi basi ni kweliNi Mbaya Kweli kumfanyia hivyo Mpenzi anayekupenda kwa dhati ila madada Wengi wanapenda sana Kushoboka kwa Wavaa Skini Jeans na Wpaka Poda,Walamba Lips,Wavaa Supra/Wanaukunywa maji na kuwaaacha walio serious.