katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,126
- 5,762
- Thread starter
- #81
Aku mi nawapa mapovu tu kutoa nani ampe naogopa kuumizwaAtapewa na mleta mada
Aku mi nawapa mapovu tu kutoa nani ampe naogopa kuumizwaAtapewa na mleta mada
Nisamehe mimiWewe rafiki yake Shunie wacha tabia mbaya .. ...Nani kakwambia jina linatafsiriwa? Unataka kuharibu Jina langu nitaenda NIDA unajua?
Daby hana shida kabisaaa, mpe nafasi hebuAku mi nawapa mapovu tu kutoa nani ampe naogopa kuumizwa
Umejuaje ni wewe kiongozi ha ha haaaNajua unanisema mimi
Unafurahishaga sana aseeIla mbona mimi siringi pm yangu wazi.
Msukume aje kama anaona aibu.
Tunabifu mimi na masonUmejuaje ni wewe kiongozi ha ha haaa
Unamchukulia dhamana?Daby hana shida kabisaaa, mpe nafasi hebu
Ahahahaa huyu mdada ananimind kinomaaUnafurahishaga sana asee
HahahaHuu mchambo unatuhusu hata sisi kaka zako ambao tumekutangulia kuuona mwezi?
njoo rudii kuleeTunabifu mimi na mason
NaogopaDaby hana shida kabisaaa, mpe nafasi hebu
nina hakika limekukuta, ila uwe unachekecha kujua chanzo, unafikiri kisa kuwa mwanaume basi kila jambo ulete za kuleta uangaliwe tu, wengie hawana uvumilivu kihiiivyo unaona sasaSijatemwa wala ila nasoma uzi mbalimbali mimi zimenichosha mnabagubagua sio fresh mnaringa kama kuna lolote zaidi ya vibamia na mkiwa na kubwa mnatuumiza au hamna matunzo mnakera tu na ukiona wachaguzi wakiivyo hawana hela nikisomi tu wanacho wanajifanya wanajua wananunuliwa bia tu wee waache hata kama wanayo ni wazinguaji tu hawana lolote hawajui mema wala mabaya wapo tu
Duh![emoji30]Wanaume wamenikeraa mm ndo maana kila siku nawachamba wanajifanya wenyewe ndo vibonde hapa duniani mxeeew kabisa
Tunaisubiri kwa hamuNina picha nilipiga na Daby kipindi tunasoma secondary nataka Nitupie hapa
Kiukweli sio hivyo soma mke nitakayeoa ,simtaki nataka kumuacha naananidekeza na zingine wanaboa kama wao ni malaikanina hakika limekukuta, ila uwe unachekecha kujua chanzo, unafikiri kisa kuwa mwanaume basi kila jambo ulete za kuleta uangaliwe tu, wengie hawana uvumilivu kihiiivyo unaona sasa
Kwa hiyo wewe hujamuelewa mpe nafasi anaweza mtu sahihiAhahahaa huyu mdada ananimind kinomaa
Kiukweli nawachukiaDuh![emoji30]