future mind
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 221
- 230
Mambo ni mabovuuuu...
Nimekukaushia wapi mama wakati huwa nasubiri useme suuu tu.Hahahahhahahhhhhh alafu Wewe wakojacko umeamua kunikaushia poah tu wacha niende tandika nikanunue kijora niwachambe mpaka nipate ban
Kwani yamekutokea yapi? Funguka tukusaidie kimawazo lakiniSijatemwa wala ila nasoma uzi mbalimbali mimi zimenichosha mnabagubagua sio fresh mnaringa kama kuna lolote zaidi ya vibamia na mkiwa na kubwa mnatuumiza au hamna matunzo mnakera tu na ukiona wachaguzi wakiivyo hawana hela nikisomi tu wanacho wanajifanya wanajua wananunuliwa bia tu wee waache hata kama wanayo ni wazinguaji tu hawana lolote hawajui mema wala mabaya wapo tu
Ni kweli naakikuchoka anakutemaKuhusu kukupa unachohitaji nikwamba anaebwana mwenye pesa anamuhonga, kwahiyo unakula jasho la mwanaume mwenzio,
NB. Wanaume wengi wanaoa wanawake ambao hawajatarajia.
Kweliii waambie hao vikojozinjoo kwangu ule mema ya nchi achana na hao wanaume uchwara wasiojua kumpenda mtoto mzuri kama wewe nipe budget yako ya outing nikuandalie mambo mazuri
Asante ila sijakataliwa naufupi wanguu nashukuru Mola kwa hilo naomba isije tokeaPole kwa kuwa mfupi!!
Tusimwage Mchele kwenye kuku wengiii ila hakuna shidaaa mm mdogo wako hujui tuNimekukaushia wapi mama wakati huwa nasubiri useme suuu tu.
Mkukumkuku nije pm.
Kiukweli kuskia nimeskia ila kuelewa sasaWamesikia mama
Infwakti I'm comingi.Tusimwage Mchele kwenye kuku wengiii ila hakuna shidaaa mm mdogo wako hujui tu
Rafiki wamekunyima dushe?Wanaume wamenikeraa mm ndo maana kila siku nawachamba wanajifanya wenyewe ndo vibonde hapa duniani mxeeew kabisa



Hakuna nakerwa tuKwani yamekutokea yapi? Funguka tukusaidie kimawazo lakini
Ni wapi hujaelewa, yaani muache KURINGA!!! Bado tuu hujaelewa??Kiukweli kuskia nimeskia ila kuelewa sasa
tu?Hakuna nakerwa tu