Ilisolokobwe
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 1,863
- 828
Huwa inatokea sana hasa kwa wanaume unapomtamani sana mwanamke na sometimes unaogopa kumwambia labda kwa kuhofia kuwa hauna hadhi au yeye ni matawi ya juu na wewe ni ya chini au sometimes kwa kumuonea aibu tuu huwa unaota unafanya naye mapenzi, mara unapostuka unagundua kuwa ni ndoto tuu na ungetamani iwe kweli lakini hubaki ni ndoto tuu.
Mbinu ifuatayo inaweza kukusaidia.
Mara tuu unapostuka kutoka katika ndoto kama hiyo, haraka sana geuza shuka uliyoitandika kitandani kwako na ile uliyojifunika pia kisha endelea na usingiz wako.
Yani, shuka uliyoitandika itoe ule upande ulio juu uwe chini and vice versa, na ile shuka uliyojifunika vivyo hivyo.
Unajua nini kitatokea?
Na yeye yule uliyemuota muda huo huo kama yupo usingizini ataota exactly the same ndoto kama uliyoota wewe, yani ataota unamgegeda.
Kesho yake ukisha amka mtafute na usipitishe siku mwombe gemu, hakatai. hata awe nani hachomoki.
NB: Mbinu hii imefanyiwa utafiti na imekuwa proved.
Kumbuka inafanya kazi kama na yeye mhusika kwa muda huo atakuwa amelala hivyo inashauriwa ifanyike wakati wa usiku.
![]()
![]()
poa mkuu na kama utakuwa umelala na mkeo atakuruhusu ubadilishe hayo mashuka???,,