Wanaume mnaifahamu mbinu hii?

Wanaume mnaifahamu mbinu hii?

Mhhhhhhhhhhhhh! mbona kama tunaanza kufundishana uchawi aisee, mwe mwe mweee
 
watu8, futuhi ni kipindi cha komedi kinarushwa Startv Alhamisi saa 3.30 usiku, kuna bwana mmoja huwa analeta matokeo ya research alizofanya.

Mfano. Kati ya mwanamke na mwanaume nani ana hekima. Conclusion yake ni kwamba, Mwanamke.
Kwani matokeo yalikuwa, Je ulishawahi ona kichaa mwanaume kampa mimba mwanamke mwenye akili timam, lakini mwanaume mwenye akili timam anampa mimba mwanamke kichaa, Baba mwenye miaka 60 anaitwa baby na kasichana ka miaka 18 hadi anaamua kukanunulia gari, ..................................

Sasa hii research result itakuwa imetoka huko pia nadhani.

Hahahah!!! that's funny indeed lol

Sijawahi kukiona hicho kipindi ila nimebaki kucheka tu hapa...asante mkuu!!!
 
Jana eti nimeota nimegeuza shuka baada ya kumuota mwajuma! Yani ndoto ndani ya ndoto!
 
Back
Top Bottom