Mkuu hakuna kitu kama hicho duniani, njia sahihi ya kumpata mwanamke yeyote umtakaye ni kuwa na uwezo wa kujiamini ukiwa mbele yake, usafi wako hasa mwili na mavazi, ustaraabu pamoja na kuwa na staha za kutosha. Yaanin ukiwa na hivyo vigezo halafu ukawa unajua kucheza na maneno matamu mdomoni mwako hakika utagegeda wengi sana. Hayo unayosema in uongo mtupu na huwezi kufanikiwa hata siku moja, acha kudanganya watu na mbinu zako za kishule ya msingi:faint2:
Vp kama ninaemuota hayupo yani sijawahi muona wala mfahamu kuna siku ninaweza kukutana nae ama?? Manaake kuna mtoto mzuri namuota dah! sjui muhindi au muarabu
Vp kama ninaemuota hayupo yani sijawahi muona wala mfahamu kuna siku ninaweza kukutana nae ama?? Manaake kuna mtoto mzuri namuota dah! sjui muhindi au muarabu
Mi nakumbuka tuliambiwa ukimuota demu, geuka kichwa kiende kule miguu ilipokuwa na miguu iwe sehemu ya kichwa, kifuatacho ni kama jamaa alivyoeleza. Sijawahi kuiapply hii though.
Sema hii formula inakinzana na nyingine inayosema kama demu unampenda halafu ukaota unamgonga ujue huyo demu ndo basi hutakaa umpate, kwa hiyo mi najitahidi kweli nisimuote demu nayemkubali; hii ninaikubali asilimia kama 79%.
You're always creating coincidences. You just don't know that you're creating these coincidences. You use mind power and the subconscious mind to create these coincidences and when you know how to apply mind power and how to direct the subconscious mind you can create the coincidences you want.It's pretty simple. Here's an idea of how it works. You think about a friend or someone you're close to. A short time later (or sooner) the phone rings and it's them. You surprisingly say that you were just thinking about them. You think - what a coincidence.It's not coincidence. Mind power connected the two of you by phone. You directed the subconscious mind (unknowingly) to contact your friend. Since the two of you are close, she (unknowingly) got the message and responded by calling you. That's how mind power works. That's how the subconscious mind works. Mind power and the subconscious mind connect you to the people you are close to and the people that can help you.What ever you regularly and repeatedly think about mind power will create and the subconscious mind will guide you to the situations to help you make your thoughts a reality. Now there's a little more to it. You have to trust and let go and that's usually the challenging part. Only when you trust and let go will mind power and the subconscious mind get to work and create the so called coincidence. Letting go means trusting that things will work out and that even if they don't go the way you want them to - things will work out. It means trusting that mind power is at work and that the subconscious mind will help you get what you want - it just may not happen the way you want it to.So the next time you experience a little coincidence, think about what you just did - how you used mind power and directed the subconscious mind to create that coincidence. Then apply that process to create another coincidence and see how things turn out. After a while the process becomes easier and you'll be using mind power and directing the subconscious mind to create coincidences all the time. There are many other ways to develop and use mind power and many more ways to direct the subconscious mind to create more coincidences and help you succeed
Huwa inatokea sana hasa kwa wanaume unapomtamani sana mwanamke na sometimes unaogopa kumwambia labda kwa kuhofia kuwa hauna hadhi au yeye ni matawi ya juu na wewe ni ya chini au sometimes kwa kumuonea aibu tuu huwa unaota unafanya naye mapenzi, mara unapostuka unagundua kuwa ni ndoto tuu na ungetamani iwe kweli lakini hubaki ni ndoto tuu.
Mbinu ifuatayo inaweza kukusaidia.
Mara tuu unapostuka kutoka katika ndoto kama hiyo, haraka sana geuza shuka uliyoitandika kitandani kwako na ile uliyojifunika pia kisha endelea na usingiz wako.
Yani, shuka uliyoitandika itoe ule upande ulio juu uwe chini and vice versa, na ile shuka uliyojifunika vivyo hivyo.
Unajua nini kitatokea?
Na yeye yule uliyemuota muda huo huo kama yupo usingizini ataota exactly the same ndoto kama uliyoota wewe, yani ataota unamgegeda.
Kesho yake ukisha amka mtafute na usipitishe siku mwombe gemu, hakatai. hata awe nani hachomoki.
NB: Mbinu hii imefanyiwa utafiti na imekuwa proved.
Kumbuka inafanya kazi kama na yeye mhusika kwa muda huo atakuwa amelala hivyo inashauriwa ifanyike wakati wa usiku.
This is purely myth! unless iwe ina uhusiano na mambo ya kishirikina!
Kama umempenda mtu, tafuta muda, nenda kamwambie ukweli na siyo kuhangaika na hizo myth.
1.Hii haina tofauti na habari niliyoisikia zamani kwamba ukitaka umpate mwanamke yeyote kirahisi tafuta mahali alipokojoa kisha weka majivu ya ndege aitwaye mbayuwayu. Mmmh...loading.
2. Mkuu kama nimelala kwenye gari na nikaota nagegeda..nipindue gari fasta, au ning'oe kiti kisha nikigeuze? Au applied kwenye mashuka tu?
Vp kama ninaemuota hayupo yani sijawahi muona wala mfahamu kuna siku ninaweza kukutana nae ama?? Manaake kuna mtoto mzuri namuota dah! sjui muhindi au muarabu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.