Wanaume mnaifahamu mbinu hii?

Wanaume mnaifahamu mbinu hii?

Mkuu tupe mbinu ya ku-control ndoto! Ndoto mara nyingi hutokea bila wewe kuamua. Ila hapo kwenye red umenichekesha.

Ku-control kutomuota ni kutomfikiria fikiria mkiwa mnafanya lile tendo, kwa sababu unavyomfikiria sana ndivyo utakavyoota.

BTW ulishawahi kuota unafanya na mtu unayempenda sana? Mara zote inaishia pale ukitaka kuingiza, kuna vikwazo lazima vije unabaki unajilaumu baada ya kuamka.
 
kwa hiyo nikiota namnyenga beyonce,itakuwaje hata nauli sina
 
Nafkiri tunahitaji jukwa la ushirikina... Viini macho, mauzauza na vingine kama hivyo kamaa ndio hivi aseee!.
 
Sasa itakuwaje kaa nitamuota demu wangu halafu yeye hajui kama kuna kugeuza shuka?
 
Sasa itakuwaje kaa nitamuota demu wangu halafu yeye hajui kama kuna kugeuza shuka?
Ni kwamba, muotwaji haitahi kugeuza shuka bali wewe muotaji ndio unatakiwa ugeuze then automaticaly na yeye atakuota.
 
teh duh,ii tekniki kwa stahil hii 'HAKATWI MTU APA' itabid tuifute maana ukiotwa tu ukafanyiwa milako bidada unaenda mwenyw looh
 
na je nikiota nimeokota pesa........nifanyeje........ili asubuhi nizimiliki.......?... Ndibalema nahitaji ushauri wako.......
 
Last edited by a moderator:
Ndio kitu gani hicho? sidhani kama ninakifahamu

watu8, futuhi ni kipindi cha komedi kinarushwa Startv Alhamisi saa 3.30 usiku, kuna bwana mmoja huwa analeta matokeo ya research alizofanya.

Mfano. Kati ya mwanamke na mwanaume nani ana hekima. Conclusion yake ni kwamba, Mwanamke.
Kwani matokeo yalikuwa, Je ulishawahi ona kichaa mwanaume kampa mimba mwanamke mwenye akili timam, lakini mwanaume mwenye akili timam anampa mimba mwanamke kichaa, Baba mwenye miaka 60 anaitwa baby na kasichana ka miaka 18 hadi anaamua kukanunulia gari, ..................................

Sasa hii research result itakuwa imetoka huko pia nadhani.
 
Back
Top Bottom