Ndibalema
JF-Expert Member
- Apr 26, 2008
- 10,955
- 4,662
- Thread starter
- #41
Kwa kuwa mimi ni mtu wa utafiti, nitafanyia utafiti hiyo kwenye red.1.Hii haina tofauti na habari niliyoisikia zamani kwamba ukitaka umpate mwanamke yeyote kirahisi tafuta mahali alipokojoa kisha weka majivu ya ndege aitwaye mbayuwayu. Mmmh...loading.
2. Mkuu kama nimelala kwenye gari na nikaota nagegeda..nipindue gari fasta, au ning'oe kiti kisha nikigeuze? Au applied kwenye mashuka tu?
Mkuu kama umelala kwenye gari geuza seat cover tuu mambo yatakuwa poa kama kawa.