Wanaume mamwinyi

Wanaume mamwinyi

Kuna wanaume wanapenda u-mwinyi bwana, yaani anaamka anaenda kuoga wakati anaoga unatandika kitanda na kuweka mazingira ya chumba vizuri. Unakwenda jikoni kuandaa chai, anatoka bafuni na taulo kiunoni anatafuta atavaa boxer na kama atakumbuka mafuta basi itakuwa kwenye viganja vya mikono. Taulo atakuachia juu ya kitanda si tatizo lake tena.

Mezani umeandaa chai na vitafunio hata kama chumvi haisikiki mfano kwenye mayai atakuita ukamchukulie jikoni hapo ni baada ya kukuita umletee maji ya kunawa na tissue ya kujikaushia.

Yaani ameshindwa kabisa kwenda kunawa jikoni au bafuni au kwenda jikoni kuchukua chumvi. Na akimaliza kula hataondoa hata kijiko mezani anaacha kila kitu pale anakwenda kukaa kwenye sofa anaangalia mpira, kusoma gazeti au anachat kwenye simu. Hiyo ni weekend.

We ulitaka afanye sawa na wewe?? Basi na wewe uwe unampiga mashine ili muende sawa usidhani kusimamisha mashine na kupump mpka wewe ushushwe Mzigo ni mchezo
 
Ile umeamka asubuhi ukawahi sehemu ukamuacha kalala ukirudi jioni hajatandika kitanda, hajaoga kalala kisa haukuwepo ukamuandalia maji utafikiri unaishi na chizi. Wanawake tuna tabu sana.
ahahahhahahahhahahahahahaha! aiseee leo wamekufumua wadau
 
Hayo mambo tushazoea kwenye ndoa we r Tanzanian hata usomeje mwanamke lazima mumeo umhudumie kila kitu wengi tunafundishwa hvyoo
Ni jambo la kawaida pia kwetu ukiona ananuna mke hajafundwa au uzungu mwingi

My own brand!!
Na Wanawake kama hawa huwa inafikia wakati wananyang'anywa Waume zao na Wafanyakaz wao,sababu ya uvivu,jamii yetu ya Kiafrika ndivyo ilivyotulea hata tulipokuwa na Wazaz wetu,ndivyo walivyoishi labda kwenu ni tofaut na hili nalolisema,hatukatai Mwanaume kumsaidia Mke wake hiyo ni hiari na siyo lazima,ukiendelea hivyo hiyo ndoa itakushinda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wadada wengi wapo negative sana asee, ii game ya mahusiano inazidi kuwa tight, still naona kuna wadada bado wanajielewa, tatizo siku izi watu wapo so entitled hata kwenye vitu ambavo haviitaji entitlement. Izi Ego sijui mnazitoa wapi izi, zinawapeleka pabaya.
 
Nature mbona mkiwa kwenye mageto yenu hamfanyi hivyo !?
Huwa inaboa sana mtu anasimama anavua nguo anaacha hapo hapo.
Taulo kitandani,upo unapika anakuita kamletee glass mara kidogo kaita umtafutie charger,
Hujarudi vizuri anaulizia remote,
Ukikaa ujiandae uepue unaitwa ukawashe ac/feni.
Mpaka ifike jioni unatamani aondoke tu walau upumzike !
Wanawake wa mjini hasa hawa wanaojiona wasomi ni matatizo,yaani mtataka mpaka Waume zenu walee Watoto na kupangiana kuosha vyombo,na hawa wapo,ila ni aibu sana Mwanaume kufanya haya kwa kulazimishwa ila kwa hiari yake poa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake wa mjini hasa hawa wanaojiona wasomi ni matatizo,yaani mtataka mpaka Waume zenu walee Watoto na kupangiana kuosha vyombo,na hawa wapo,ila ni aibu sana Mwanaume kufanya haya kwa kulazimishwa ila kwa hiari yake poa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hujaelewa mada.
Kuna gender roles zinajulikana.
Ila kuna vitu vidogo vidogo vya mtu kujitegemea na kumpunguzia mtu majukumu.
Unaona wanawake wa mjini ila hauoni wanaume wa mjini wanaotaka kuhudumiwa financially and materially.
 
Kuna wanaume wanapenda u-mwinyi bwana, yaani anaamka anaenda kuoga wakati anaoga unatandika kitanda na kuweka mazingira ya chumba vizuri. Unakwenda jikoni kuandaa chai, anatoka bafuni na taulo kiunoni anatafuta atavaa boxer na kama atakumbuka mafuta basi itakuwa kwenye viganja vya mikono. Taulo atakuachia juu ya kitanda si tatizo lake tena.

Mezani umeandaa chai na vitafunio hata kama chumvi haisikiki mfano kwenye mayai atakuita ukamchukulie jikoni hapo ni baada ya kukuita umletee maji ya kunawa na tissue ya kujikaushia.

Yaani ameshindwa kabisa kwenda kunawa jikoni au bafuni au kwenda jikoni kuchukua chumvi. Na akimaliza kula hataondoa hata kijiko mezani anaacha kila kitu pale anakwenda kukaa kwenye sofa anaangalia mpira, kusoma gazeti au anachat kwenye simu. Hiyo ni weekend.
Bila shaka utakuwa mwanamke mfupi wewe!
 
inamaana anaoga mwenyewe ? aiseee siogi ntaishia kujimwagia maji lazima uniogeshe hahahahahhahaah kuwa mwanaume raa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom