Wanaume mamwinyi

Wanaume mamwinyi

Ndo raha ya kuwa na mke...akimaliza huduma zote akija sitting room nampakata nampozapoza kwa mahabbat anafurahi siku inapita vizuri....Sasa Sky wewe unataka 50/50 nyumbani[emoji28] [emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app



nakupakata? yaan dume zima ina kilo 90 nilipakate mm wa kilo67?? au sijakuelewa mkuu!heheheh niolewe tena bas jaman kha
 
Tatizo wakati wa uchumba mnatuzoeshaga hivyo hamtakagi tufanye chochote wakati mwingine na kula tunalishwa ,mswaki tunapigishwa

blame no body
 
na 'pesa' pia sio kunipe peti km mtoto
Yeah pesa pia ni haki mke kumpa..lakini punguzeni kupenda pesa more than too much...hakuna kubwa katika ndoa kama kutosheka na penzi la dhati lenye uaminifu...wenzio wanapenda kupetiwa wewe wauita utoto[emoji38] [emoji38] [emoji38] haya bi dada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siju hizi tunaoa ili tupikiwe,tufuliwe,tuoshewe vyombo,tupate watoto...sio sababu ya ngono hivo mke mwema ni yule anayeweza hayo majukumu...kama k. Zipo kibao mtaani huku

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata hizo kazi pia unaweza ajiri mtu akakufanyia zoote, kwa ufanisi Mkubwa tu. (Kama ambavyo hizo .... Unaeza kuzipata mtaani) So usioe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nakupakata? yaan dume zima ina kilo 90 nilipakate mm wa kilo67?? au sijakuelewa mkuu!heheheh niolewe tena bas jaman kha
Mbiti kwani we humpakati my hubby wako? Ina maana kilo 90 huwezi kuzibeba kweli[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji125]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom