Good Father
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 10,320
- 18,595
Usilazimishe kuhudumiana.Wanaohudumia wapo wachache. Wengine wanahudumiana
Inategemeana na mtu, kama unaona ni lazima mme wako akuhudumie na hataki basi achana nae utafuta atakayekuhudumia.
Mimi namsaidia mke wangu kazi ninapokua na muda, ila akiweka akilini kwamba ni lazima nimsaidie ajue ndo naacha simsaidii tena na sipangiwi.
Akitaka usawa nayeye apeleke posa kwetu.