Wanaume mamwinyi

Wanaume mamwinyi

Dah! Sky Eclat Ndio hivyo ilivyo, nawaza hapa kwamba nipishane na watoto jikoni kisa nafuata chumvi, jameni wanawake wa siku hizi hamjafundwa kabisa.
Binafsi mimi huwa siendi jikoni kabisa, na maji ya kunawa nasubiri pale kwenye meza ya kula maana kama baba wa nyumba ni aibu sana kupanga foleni na wanangu kwenye sink eti tunawe mikono.

Nawahurumia vijana wanaoingia kwenye hizi ndoa za dotcom...
 
Dah! Sky Eclat Ndio hivyo ilivyo, nawaza hapa kwamba nipishane na watoto jikoni kisa nafuata chumvi, jameni wanawake wa siku hizi hamjafundwa kabisa.
Binafsi mimi huwa siendi jikoni kabisa, na maji ya kunawa nasubiri pale kwenye meza ya kula maana kama baba wa nyumba ni aibu sana kupanga foleni na wanangu kwenye sink eti tunawe mikono.

Nawahurumia vijana wanaoingia kwenye hizi ndoa za dotcom...
Na ukiletewa chumvi unaitisha tooth pick
 
Mwanamke ukimsaidia kazi atataka kukupangia ratiba ya Hizo kazi.
Mwanaume unapaswa kumsaidia pale unapojisikia au anaumwa.
Kwenye mambo ya mpangilio WA vitu hilo hata Mimi huwa nalifuatilia mno. Sipendi kitu kuwa mahali ambapo sio pake, ntakichoma moto Kama Hakuna sehemu ya kukiweka.!!!!



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzazi wetu alihakikisha tunajua kila Kitu katika ukuaji wetu.
Hakuna ambacho kinafanyika ndani ya nyumba hakutufundisha.
Ila wanaume alituambia ametufundisha ili tuweze kujitegemea na kuwasaidia wake zetu wanapozidiwa.
Sio tupangiwe zamu.

Haya mawazo mliyonayo wadada wengi Ndio Maana mnaishia kututia hasara za kuchangia harusi aafu inavunjika Baada ya miezi miwili.
Kama unajijua unataka haki sawa usitafute mwanaume WA kiafrica.
Kaa tu kwenu uendelee kuzaa na waume za watu.
Hakuna mwanaume WA kiafrika wa 50/50. Hayupo. Hata baba yako kama unamfahamu hakuwa hivyo.
huwa mnakosea pale mnapofikiria mtaibadilisha jamii.
Yaani wewe utoke kwenu Uje kunikunja Mimi nikiwa mzee kabisa.!!
Kama mtu hajafundishwa kwao ndio imekula kwako hivo.
Hutaki kukubaliana, usiołewe!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani baba unapishana na watoto kwenda kufuata kijiko au chumvi jikoni??
Na watoto wenu Ndio mnawalea hivi? Kwamba kila mtu anapaswa kufuata kitu chake jikoni??
Nawaonea huruma hata hao wanaowaoa!! Kazi waliyonayo ni ngumu Sana ya kumnyoosha mama pamoja na watoto wake asiojua kuwalea.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo ndio kazi za mwanamke dada tulia wacha kulialia apa sasa unataka akutafutie pesa ya kula na apike tena.
 
Nature mbona mkiwa kwenye mageto yenu hamfanyi hivyo !?
Huwa inaboa sana mtu anasimama anavua nguo anaacha hapo hapo.
Taulo kitandani,upo unapika anakuita kamletee glass mara kidogo kaita umtafutie charger,
Hujarudi vizuri anaulizia remote,
Ukikaa ujiandae uepue unaitwa ukawashe ac/feni.
Mpaka ifike jioni unatamani aondoke tu walau upumzike !
Michango yenu wengine inaonyesha mna migogoro
Ng'ombe hajawahi kulemewa na nundu lake hata siku moja.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom