Wanaume mamwinyi

Wanaume mamwinyi

Tatizo Lenu Mkisaidiwa Leo Kutandika Kitanda Kesho Utaacha Makusudi Kesho Kutwa Utasema Naomba Nisaidie Kumuogesha Mtoto Nikimuogesha Mara Mbili Tatu Kuna Siku Utasema Mtoto Hajaoga Tu? Nikizoea Kumuogesha Utasema Na Hizo Nguo Mbili Za Mtoto Nifulie Povu Moja ,nikifua Utasema Sasa Hilo Povu Unamwaga Bure C Ufue Hata Zile Nguo Zako Apo Ndo M/ume Umeshaingizwa Kwenye Kaz Za Nyumban Kuna Cku Atakwambia Nimechoka Nisaidie Kupka Ukifanya Hvo Kuna Siku Atachelewa Kulud Akijua We Utapka Ucpo Pika Atakuuliza Yan Hujapika Tu,,, WITO KWA WANAUME WOTE USIMSAIDIE CHOCHOTE WF WAKO
 
Hahaaaa my dear wanaume wengi wako hivyo.Niko nacheka tu hapa my husband sio kihivyo saana coz smtms he can cook for us.but huwa anatabia akivua soksi usipoziwahi utakuta ingine chini ya kochi ingine nje na kabati la nguo kila siku napanga maana akitafuta kitu utakuta kapangua kila kitu kipo chini hahaaa.hawa watu ni kwenda nao tu taratibu.ukiona sehemu pana shida paweke tu vizuri haigarimu chochote. Mfano kama soksi mimi nikizifuaga nazifunga kila pair pamoja natenga soksi sehemu yake.na usiku namtengea nguo za kuvaa asubuhi kazini au kanisani kuepuka asivuruge nguo zote..simple tu ukimtengea chakula muwemekee kila kitu mezani.inakuwa rahisi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna wanaume wanapenda u-mwinyi bwana, yaani anaamka anaenda kuoga wakati anaoga unatandika kitanda na kuweka mazingira ya chumba vizuri. Unakwenda jikoni kuandaa chai, anatoka bafuni na taulo kiunoni anatafuta atavaa boxer na kama atakumbuka mafuta basi itakuwa kwenye viganja vya mikono. Taulo atakuachia juu ya kitanda si tatizo lake tena.

Mezani umeandaa chai na vitafunio hata kama chumvi haisikiki mfano kwenye mayai atakuita ukamchukulie jikoni hapo ni baada ya kukuita umletee maji ya kunawa na tissue ya kujikaushia.

Yaani ameshindwa kabisa kwenda kunawa jikoni au bafuni au kwenda jikoni kuchukua chumvi. Na akimaliza kula hataondoa hata kijiko mezani anaacha kila kitu pale anakwenda kukaa kwenye sofa anaangalia mpira, kusoma gazeti au anachat kwenye simu. Hiyo ni weekend.
Wewe kama una mind vitu hivyo kuolewa hutaweza.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo Lenu Mkisaidiwa Leo Kutandika Kitanda Kesho Utaacha Makusudi Kesho Kutwa Utasema Naomba Nisaidie Kumuogesha Mtoto Nikimuogesha Mara Mbili Tatu Kuna Siku Utasema Mtoto Hajaoga Tu? Nikizoea Kumuogesha Utasema Na Hizo Nguo Mbili Za Mtoto Nifulie Povu Moja ,nikifua Utasema Sasa Hilo Povu Unamwaga Bure C Ufue Hata Zile Nguo Zako Apo Ndo M/ume Umeshaingizwa Kwenye Kaz Za Nyumban Kuna Cku Atakwambia Nimechoka Nisaidie Kupka Ukifanya Hvo Kuna Siku Atachelewa Kulud Akijua We Utapka Ucpo Pika Atakuuliza Yan Hujapika Tu,,, WITO KWA WANAUME WOTE USIMSAIDIE CHOCHOTE WF WAKO
Mkuu umemaliza kila Kitu.
Wakisaidiwa huwa wanageuza Kama wajibu na wakati mwingine wanauliza kabisa, hujafanya Hiki??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo sii umwinyi ni majukumu tu hajayazoea maana Kabla alikua anapikia papo hapo na kulala papo hapo kwa hiyo hizo route mpya hajazizoea

sent from my Tecno W3
 
Ila na nyie wanawake mmezidi malalamiko khaaaaa
 
Nature mbona mkiwa kwenye mageto yenu hamfanyi hivyo !?
Huwa inaboa sana mtu anasimama anavua nguo anaacha hapo hapo.
Taulo kitandani,upo unapika anakuita kamletee glass mara kidogo kaita umtafutie charger,
Hujarudi vizuri anaulizia remote,
Ukikaa ujiandae uepue unaitwa ukawashe ac/feni.
Mpaka ifike jioni unatamani aondoke tu walau upumzike !
ushaingia geto la mwanaume ukaona mpangilio wake?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom