Wanaume kupotea baada ya muda mfupi wa mahusiano

Wanaume kupotea baada ya muda mfupi wa mahusiano

Unaweza ukawa umepoteza maxi zako siku ya kwanza. Mtu anakutoa out anashangaa unavyobugia bia kama gari la V8 linavyonyonya mafuta alafu hapo mtu alikuwa anatafuta mke. Unadhani utaendelea kushobokewa?
 
week unawaza nini mimi masaa tu nishasahau hata jina lako

hahahhaa shauri zako utakosa mume jf! yaan mm uwiii niliwah kuwa na uhusiano na twin(namanisha yeye ni pacha) km mm (maana na mm ni twin) huez amini had leo frnds zangu wanamkumbukaga wanamuuliza yuko wapi! yeye alikuwa anaitwa DOTO na mie KULWA ! tulimatch balaa! yaan kila mtu alijua huyu ndo wa maisha! mpaka leo anaishiaga kuniita kulwa wangu eh! hahhahaah mm sitak kulia jaman!labda kwenye ndoa nitalia (kupunguza hasira) lakin kama ndo mahusiano ya kuniliza mm pita hivi!! hata kama ulikuwa mtamuje !!!!!!!
 
Unaweza ukawa umepoteza maxi zako siku ya kwanza. Mtu anakutoa out anashangaa unavyobugia bia kama gari la V8 linavyonyonya mafuta alafu hapo mtu alikuwa anatafuta mke. Unadhani utaendelea kushobokewa?
hapo kwenye kutafta mke
Ivi kuna ulazima wa kumueleza wazi kuwa nataka kukuoa wakati mko dating ama unamficha
 
kagundua siyo type yake..

alikuwa anataka kitumbua labda kapata..

ana mpenzi wake wewe ni by the way tu ulikuwa

labda unaboa na kuchosha

una mashauzi ya kijinga..

unastory za kifala mara baba yangu mara mjomba wangu .....

hujiamini

chagua linalokufaa
Hahahhahhaha[emoji119] Umempa ajichagulie mwenyewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengine ni ulimbukeni tu, utawaweza basi hawa watu yaan hata wao hawajitambui. Kikubwa ni kupenda nusu tu ili akizingua basi unamuacha aende.
 
Unaweza ukawa umepoteza maxi zako siku ya kwanza. Mtu anakutoa out anashangaa unavyobugia bia kama gari la V8 linavyonyonya mafuta alafu hapo mtu alikuwa anatafuta mke. Unadhani utaendelea kushobokewa?
unaponunua bia si ili zinywewe mkuu.kama hutaki mke mnywa pombe usinunue
 
Nisaidie tuu ukiweza

WEWE NI WA THAMANI SANA SANA ! USILIE!BELIEVE ME ATATOKEA MTU AMBAYE HATAKULIZA! penda hasa hasa kwa hisia zote lakini kumlilia mtu baki hapana kwakweli! labda kama yye ndo NJIA! tuseme hutaweza kutembea!labda
 
Mkuu wakati mwanzo huwa kuna vitu vingi sana tunazingatia ukiona kimya ujue tayari ameona mambo ambayo kwake ni kikwazo kikubwa.

Wengine sisi ni wapita njia tuu na kuna vigezo vyote tunaonyesha kama tunataka kupitaa tuu au makazi ya muda
*ukweli na uwazi kungatiwa*
 
Ndio hivyo mkuu utakuta mwengine mpaka upost picha facebook ndio anakutumia kimessage eti amebanwa na kazi, mwengine ndio kapotea mazima

Dah pole sanaaa, it seems talking from experience
Yamekukuta mengii. Usijali pambana tu na hali yako., bingo inakuja
 
Back
Top Bottom