ni ngumu
JF-Expert Member
- Sep 25, 2016
- 4,292
- 7,211
Umetisha sana aiseekagundua siyo type yake..
alikuwa anataka kitumbua labda kapata..
ana mpenzi wake wewe ni by the way tu ulikuwa
labda unaboa na kuchosha
una mashauzi ya kijinga..
unastory za kifala mara baba yangu mara mjomba wangu .....
hujiamini
chagua linalokufaa
Sent using Jamii Forums mobile app