Temanyika wa Nyika
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 201
- 309
Wamezidi kuomba omba,kila simu au SMS ninashida ya Tsh ,kazaa,wakati Mimi sio ATM,inachosha na kuboa banaa,ndio maana mnakimbiwaNaomba niulize swali kwa wana JF hasa wanaume,
Utakuta umekutana na mtu ameomba namba yako ya simu ukampatia akakupigia nawe ukawa unampigia, mmeenda date kwa muda kama wiki mbili hivi kila wiki mara moja.
Mwingine utakuta na kwake alikopanga kakupeleka kabisa, ghafla bin vuu unakuta mtu mara hapokei simu zako wala SMS hajibu.
Hivi hii inatokana na nini?
Sent using Jamii Forums mobile app