Wanaume kupotea baada ya muda mfupi wa mahusiano

Wanaume kupotea baada ya muda mfupi wa mahusiano

Pole bibie...usikate tamaa ww endelea kutafuta ambaye atakuina unafaa


Usiogope kumuuliza mtu kwann hataki mawasiliano bora ujue tatizo ili ujirekebishe

Ni vizuri kumuuliza ila pia kwanini asiseme kama kuna tatizo? kukaa kimya haisaidii
 
Yaani utakuta umedate na mwanaume kama mara mbili hivi yaani mmeonana kama mara mbili tatu hivi na alipopanga kakupeleka. sasa ghafla bin vuu anaanza kutopokea sim zako na kutojibu message zako
We nawe kama inatokea mara kwa mara jaribu kubadilika itakuwa unakosea sehemu ndio maana hawarudi.
 
kagundua siyo type yake..

alikuwa anataka kitumbua labda kapata..

ana mpenzi wake wewe ni by the way tu ulikuwa

labda unaboa na kuchosha

una mashauzi ya kijinga..

unastory za kifala mara baba yangu mara mjomba wangu .....

hujiamini

chagua linalokufaa
We Mtoto kweli Una maneno ya hatari Duuuu
 
nimemtania tu mwaya.labda aende akanye kinyesi hapo mlangoni kwake
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Usijali mwaya. Aachane naye tu kwa kweli kwa sababu hawadaiyani.

Ila baadhi ya wanaume mungu anawaona my.
 
Naomba niulize swali kwa wana jf hasa wanaume.utakuta umekutana na mtu ameomba namba yako ya simu ukampatia akakupigia nawe ukawa unampigia,mmeenda date kwa muda kama wiki mbili hivi kila wiki mara moja.mwengine utakuta na kwake alikopanga kakupeleka kabisa, ghafla bin vuu unakuta mtu mara hapokei sim zako wala msg hajibu. hivi hii inatokana na nini?
Na wewe mpotezee
 
Hivi kwani mwanaume wa kweli na mwenyewe malengo na wewe ,hivi unashindwa kumtambua? ?


bwana eh! jua kuwa sijawah ishi hayo maisha! naona ajabu kweli kweli kulia lia mapenzi!kifupi sijawah !
 
Back
Top Bottom