Mh umeshaolewa dada???
sasa utalia nini? labda kama una machozi ya burezaman sana shoga /mdogo wangu!ukweli kwemye maisha yangu ya mapenzi mm sijawah kulia! eti men anizingue nimlilie??hehehehehhe mie walaaa! wanaume weng hvi!
Yah mamiiKweli kabisa mumy asiumize kichwa kwa mtu anayejua nini anachokifanya.
OkayPouwa!!!
sasa utalia nini? labda kama una machozi ya bure
chozi ?? simlili mtu kamwe aende tu yaanisi ndo kama hv mtu anaumiaa!
Mh hongera...........
Basi bibie sasa hivi tubadili huu mchezo naomba unialike mm kwako halaf na picha yangu nmekutumiaNi vizuri kumuuliza ila pia kwanini asiseme kama kuna tatizo? kukaa kimya haisaidii
chozi ?? simlili mtu kamwe aende tu yaani
chozi ?? simlili mtu kamwe aende tu yaani
hujui mungu kakuepusha nini .shukuru watu wengine majini etiSio kumlilia mtu, unajiuliza tuu kwanini inakuaga hivyo yani mtu akatishe mawasiliano ghafla kama vile hamkujuana kabla. Au pengine mmeshaolewa msiolilia mapenzi au labda hamna hamu ya kuolewa
week unawaza nini mimi masaa tu nishasahau hata jina lakoMie nnapenda kweli kweli tena mapenzi ya kisukuma(nayaitaga ya kijuha) najitoa had pesa zangu! yaan napendaaaa lakini ukishanichosha tu sijui nikulilie??? au huenda nabahatika kukutana na wanaume wa maana kuliko wa nyuma ! withn a week nakusahau!
Jamani mbona mnaenda nje ya mada.
Mie nnapenda kweli kweli tena mapenzi ya kisukuma(nayaitaga ya kijuha) najitoa had pesa zangu! yaan napendaaaa lakini ukishanichosha tu sijui nikulilie??? au huenda nabahatika kukutana na wanaume wa maana kuliko wa nyuma ! withn a week nakusahau!